Kuna wakati unakuja wenzetu hawa watamkana na kujitenga na Mwenyekiti wao, na watataka chama chao kisihukumiwe wala kisihusishwe na matendo yake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,787
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho, mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali, ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno.

Anaonekana ni mtu wa kubariki na hata yeye mwenyewe kufanya blunders kubwa sana zinazomgharimu yeye na chama chakie kisiasa, lakini anakuwa ni kama mtu alietiwa upofu kiasi kwamba anakomaa tu hivyo hivyo bila kujali madhara ya mambo yanayoendelea chini ya uongozi wake.

Sometimes huwa napata hisia: kwakuwa kila jambo hutokea kwasababu maalumu, basi huenda tumeletewa huyu mtu ili kupitia yeye, chama chake na yeye mwenyewe wapate anguko la kisiasa.

Yeye na watu wake wanaharibu mpaka inashangaza na kwa kweli inatufanya tutafakari na kujiuliza kama huwa wanawazA kabla ya kutenda!

Siku yakitimia,watamkana na kujitenga naye, na hawataishia kuumkana tu,bali watataka hata chama chao kisihusishwe na matendo yake na ya watu wake.

Watadiriki kusema hadharani kuwa tatizo sio chama, bali tatizo ni yeye.

Wajumbe wameonyesha tu mfano wa jinsi anavyoweza kuja kutengwa na pia kudhihirisha ubovu wa maamuzi ambayo yeye na wanaomzunguka wamekuwa wakiyafamya.

Time will tell.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,655
2,000
Alifikiri miaka mitano ya utawala ni mingi sana, ona sasa imeshaisha!

Na hata akishinda uchaguzi wa mwaka huu, ana miaka mitatu ya kutawala effectively, miwili itakayobaki watu wataanza kutengeneza alliances mpya kwa ajili ya mlo ujao.

Wakati huo ukifika ataanza kushangaa watu hata ndani ya CCM wana muignore hawana time naye kivile!
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale anayoyabariki/kufumbia macho,yanaleta tafsiri moja tu kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali,ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno.

Anaonekana ni mtu wa kubariki na hata yeye mwenyew e kufanya blunders kubwa sana zinazomgharimu yeye na chama chakie kisiasa lakini anakuwa ni kama mtu alietiwa upofu kiasi kwamba anakomaa tu hivyo hivyo bila kujali madhara ya mambo yanayoendelea chini ya uongozi wake...
Na huo wakati si mbali ni miezi 3 tu kutoka sasa
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,943
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho,mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali,ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno...
Tumekuelewa bwashee.

Tatizo " Ni Yeye " Tundu Lisu!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
CCM inakata moto taratibu, na kwakuwa kiongozi wake ni sikio la kufa, basi ccm wana wakati mgumu sana mwaka huu.
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho,mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali,ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno.

Anaonekana ni mtu wa kubariki na hata yeye mwenyewe kufanya blunders kubwa sana zinazomgharimu yeye na chama chakie kisiasa, lakini anakuwa ni kama mtu alietiwa upofu kiasi kwamba anakomaa tu hivyo hivyo bila kujali madhara ya mambo yanayoendelea chini ya uongozi wake.

Sometimes huwa napata hisia:kwakuwa kila jambo hutokea kwasababu maalumu,basi huenda tumeletewa huyu mtu ili kupitia yeye, chama chake na yeye mwenyewe wapate anguko la kisiasa.

Yeye na watu wake wanaharibu mpaka inashangaza na kwa kweli inatufanya tutafakari na kujiuliza kama huwa wanawaz kabla ya kutenda!

Siku yakitimia,watamkana na kujitenga nae, na hawataishia kuumkana tu,bali watataka hata chama chao kisihusishwe na matendo yake na ya watu wake.

Watadiriki kusema hadharani kuwa tatizo sio chama,bali tatizo ni yeye.

Wajumbe wameonyesha tu mfano wa jinsi anavyoweza kuja kutengwa na kudhihirisha ubovu wa maamuzi ambayo yeye na wanaomzunguka wamekuwa wakiyafamya.

Time will tell.
Utadubiri Sana I see! Magu siyo Kama wale! Ataendelea kung'waa daima!
Magu ni Bora Sana kuliko hao mamluki wenu!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,228
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho,mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali,ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno...
kweli kabisa. historia inajirudia..... si ushaona MATAGA (akiwemo Bashite) wanavyojifanya kumruka kimanga JK!
 
Nguniani

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
1,054
2,000
Ukiwa na akili timamu ukiona yanayotendwa na serikali ya awamu ya tano unaweza amkia hospital nakuomba upimwe akili je upo sawa au upo dunia nyingine maana inafanya mambo ya ajabu mpaka kero
Unatakiwa uamkie milembe!!
 
ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
2,380
2,000
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho,mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali,ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno.

Anaonekana ni mtu wa kubariki na hata yeye mwenyewe kufanya blunders kubwa sana zinazomgharimu yeye na chama chakie kisiasa, lakini anakuwa ni kama mtu alietiwa upofu kiasi kwamba anakomaa tu hivyo hivyo bila kujali madhara ya mambo yanayoendelea chini ya uongozi wake.

Sometimes huwa napata hisia:kwakuwa kila jambo hutokea kwasababu maalumu,basi huenda tumeletewa huyu mtu ili kupitia yeye, chama chake na yeye mwenyewe wapate anguko la kisiasa.

Yeye na watu wake wanaharibu mpaka inashangaza na kwa kweli inatufanya tutafakari na kujiuliza kama huwa wanawaz kabla ya kutenda!

Siku yakitimia,watamkana na kujitenga nae, na hawataishia kuumkana tu,bali watataka hata chama chao kisihusishwe na matendo yake na ya watu wake.

Watadiriki kusema hadharani kuwa tatizo sio chama,bali tatizo ni yeye.

Wajumbe wameonyesha tu mfano wa jinsi anavyoweza kuja kutengwa na kudhihirisha ubovu wa maamuzi ambayo yeye na wanaomzunguka wamekuwa wakiyafamya.

Time will tell.

October atakae shinda Urais wa JMT ni

1. John Pombe Joseph Magufuli 85%
2. Tundu A. Lisu 10%
3. Membe 2%
4. Na kuendelea watagawana asilimia 3% zilizobaki

Save this thread till 30 October
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom