tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayova

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la mtoto kukoroma kama ana kamasi puani

    Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani. Nimetumia dawa kadhaa kama vile mucolyn, citrizine na ephedrine nasal drops lakini bado hata hija saidia kitu. Naombeni...
  2. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania NBC bank rekebisheni tatizo la ATM card please! Or else...

    Kuna tatizo la ATM cards NBC hazisomi kwenye ATM mashine. Ukienda bank ni danadana jaribu baadaye , jaribu kesho, Mara ooh tunarekebisha huku wateja wenu tukiendelea kuingia cost ya 6000 kila ninapofanya transaction ya kudraw hela kupitia dirishani. Kuna kuna tatizo limeshindika basi punguzeni...
  4. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

    MARADHI YA KIHARUSI Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24. Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika...
  5. proxy

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata hospital au mtaalam wa kutibu tatizo la macho?

    Habari za mchana wandugu, Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika kitabu huwa anasogeza sana karibu na macho ili aweze kusoma vizuri. Nimempeleka hospital moja ya...
  6. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio design pekee ambayo ingemaliza tatizo la foleni Mbezi Mwisho

    Kwanza 1. Kuna nafasi ya kutosha 2. Gharama yake ni ndogo 3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele. Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design...
  7. KimChi

    JamiiForums Tanzania Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

    Habari wakuu, Nimekuja gundua wadau wengi wa JF wanashuhuda za uhakika wa 100% za Tiba fulani za Asili kwa kuwa binafsi au ndugu zao wa karibu walizitumia kutatua Maradhi, Ulemavu au matatizo yaliyowasumbua na wakafanikiwa. Hivyo nachukua fursa hii kumkaribisha yeyote mwenye kujua Tiba Asili...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuzaa mtoto mwenye mapungufu fulani ni tatizo la kibailojia or mapenzi ya Mungu?

    Natumai hamjambo wakuu, Wakuu naombeni usaidizi wenu katika hili, je kumzaa mtoto akiwa mlemavu wa ngozi, macho, kiziwi, bubu, kilema or hata sura mbaya inatokana na sababu za kibailojia or mipango ya mungu?
  9. Cvez

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

    Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃 Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃 Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Tatizo kumbe ni polisi wala siyo ubaguzi

    Hapa naona dereva mweusi na askari polisi weusi wanaonyeshana kazi
  12. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda bado Covid19 ni tatizo, lockdown ipo palepale

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona. Museveni amesema kuwa si rahisi kwa maeneo hayo kufuata masharti ya kutochangamana...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania HP Probook: Bios inaload taratibu dakika 5, ila windows haina tatizo

    Hili tatizo linaniumiza sana kichwa Navyowasha PC ile system ya hp ambayo inaload kabla ya windows kuload IPO taratibu sana, nliupdate BIOS ila wapi na hio bios ile update kwa masaa mawili Napowasha PC inakua haionyeshi kitu kwa dakika hivi alafu bios inayokea chats ya HP inakuwa ivoivo kama...
  14. Kizinga mpemba

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi na maziwa hataki kunyonya na nipo mbali na hospitali tatizo linaweza kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto

    Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya. Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni USB Cable au ni Simu?

    Wakuu natumia simu aina ya Huawei Y9 Prime Nimejaribu kuhamisha files Kutoka kwenye PC kwenda kwenye simu Lakini imeshindikana. Sasa sijajua tatizo litakuwa ni kwenye simu au USB cable, maana mpaka Sasa nimeshajaribu zaidi ya USB Cable tano Lakini sijafanikiwa.
  16. MAKOLE

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

    Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

    Sio kwamba kwenye utawala wa BM na JK siri za serikali na viongozi wake zilikuwa hazivuji zilivuja ila sasa imekuwa too much. Alianza Mange kuvujisha mambo very sensitive na alileta taaruki kweli na baadhi ya mambo ulikuwa ukitizama unaona kabisa yanatoka ndani jikoni. Sasa hivi Kigogo kuna...
  18. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukavu wa uke... Haya nyie Wadada mnaosema naumia wakati wa tendo njoo hapa

    Bpharm: Chriss Johny Tatizo la kuwa na ukavu ukeni hutokea wakati tishu za uke hukosa ute wa kutosha na uke kutokua na afya thabiti. Kwa kawaida, kuta za uke hukaa zimehifadhiwa na safu nyembamba ya ute maji. Dalili kuu ni kama vile kukosa hamu ya kuendelea KUSHIRIKI tendo, maumivu makali...
  19. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana wengi sana hili

  20. Kimwerymdodo5

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
Back
Top Bottom