tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

    Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu...
  2. Ilitara kimura

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna tatizo gani?

    *Hivi majuzi TV ya CITIZEN ya nchini Kenya ilitumia lugha isiyo ya kistaarabu dhidi ya Rais Magufuli kwa kumuita "mkaidi" walipokuwa wakikosoa mikakati yake ya kupambana na janga la Corona ambayo wao wanaona ni mikakati isiyofaa. Baada ya siku kadhaa, Tv hiyo ilijishtukia na kuanza kuomba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA kuna tatizo gani?

    Tangu jana hapa Mwanza maeneo mengi hayana maji na hii imeleta adha kubwa sana ikichukuliwa kuwa maji ni bidhaa muhimu katika maisha ya binadamu. Ninashauri kila linapotokea tatizo kama hili basi wananchi wawe wanajulishwa ili nao waweze kuchukua tahadhari.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wabunge walio wengi wa CCM wanaamini majimbo ni mali yao binafsi

    Huu utaratibu wa kujimilikisha majimbo siyo mzuri kabisa, jimbo ni mali ya wananchi wewe mbunge ni mtu wa kupita tu. Unaweza kukuta mwanaCCM mwenye PhD ya Mlimani ameng'ang'ana na ubunge pamoja na kutumbuliwa na mwenyekiti wa chama chake bado anajiita yeye ni " mamba"......sasa sijui...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Mwanza-MWAUWASA: Kukatwa kwa maji siku ya pili leo na hili tatizo la Corona!! Huu ni ukatili dhidi ya binadamu viongozi mko wapi?

    Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote? Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
  6. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania Tanzania yathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 5 wa COVID-19. Waathirika wafikia 32, watatu wafariki dunia

    WAGONJWA WA COVID-19 NCHINI WAFIKA 32, WATATU WAMEFARIKI DUNIA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya watano wa virusi vya Corona nchini, aidha mapema leo wagonjwa wapya wawili pia wametangazwa Zanzibar na kufanya idadi ya wagonjwa nchini kufikia 32. Wagonjwa wote...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais Dkt. Magufuli, huyu Mchungaji ameponya tatizo au sasa ndiyo amelizidisha zaidi?

    "Makabila yote yana umoja wao, sisi hatukuwa na umoja kabisa hatuna desturi kama za Wachaga wanavyokuwa pamoja mwishoni mwa mwaka, niliamua kuwaunganisha pamoja kuna Watemi wa Kisukuma ukienda kule Usukumani utawapata watu. Lengo lilikuwa ni kuwa pamoja katika kusaidiana, tuwe pamoja na...
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

    Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

    Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma ----
  10. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tatizo hili linanitisha juu ya mwanangu. Msaada jamani!

    Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali... Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana... Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
  11. Mkaruka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

    Hey Hey JF, Maisha ya binadamu kwa kawaida yamejaa majaribio kwa maana ya 'Trial & Error'. Leo unaanzisha kitu, ukidhani kita work out lakini kinaishia pabaya kuliko hata ulivyodhani. Hili limekuwepo sana kwenye kila tufanyacho yakiwemo pia mambo ya mahusiano. Watu wanakutana leo, wanaanza...
  12. Bhakusyobhile

    JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo lingine la Honda CRV(RD5)?

    Kwenye baadhi ya thread wana JF wamelalamika kuwa gari hii vipuli vyake ni ghali!!,Je kuna udhaifu mwingine wa gari hii? ikiwa utazingatia service kwa wakati? Nataka niagize gari hii kwa ajili ya kazi zangu huko Mbeya (vijijin) na Mahenge (Morogoro).
  13. Olmost

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

    Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpina: Operation Sangara imeongeza tatizo la rushwa Kanda ya Ziwa

    Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
  17. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la kuhama hama

    salute wakuu nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then makongo. Hata shule ilikuwa lazima nihame shule moja niende nyingine. Hata masomo nilihama toka sayansi...
  18. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo, tatizo la kuchanganya sauti r na l katika uandishi tumenyoosha mikono?

    Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa. Utafiti wangu mdogo unaonesha hata walimu, wapo wengi wana tatizo hili. Kiambatisho kwenye bango hili ni ushahidi wa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu tatizo la vijipu kwenye makalio nateseka

    Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
  20. Planett

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
Back
Top Bottom