tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la picha kujirudia rudia (Multple photos) katika simu

    Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video". Msaada : 1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple) kwa mafile katika simu, yaani audio zinakuwa mbili mbili, au folder za mapicha zinakuwa mbili mbili...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wetu (hasa Marais na Wake zao) kutibiwa katika hospitali za 'Siri' na Watanzania 'kufichwa' pia ni sehemu ya tatizo

    Ni Hospitali ambazo naziheshimu sana japo najua ni za Watu fulani fulani kutokana na Umuhimu wao hapa nchini Tanzania. Sikatai kuwa Kifo huwa hakina aina ya Hospitali bali muda wa ' Israeli Mtoa Roho ' ukifika tu hata ukiwa Umelaza katika Hospitali yenye Hadhi duniani 'utaondoka' tu kwenda zako...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanasiasa wa kuibuka, na uzuri wa wanasiasa wa kutumikia Umma daima

    Uchunguzi mpya uliofanywa na chuo kikuu cha Harvard cha Marekani umeonesha kuongezeka kwa kiwango cha raia wa China kuridhika na utendaji wa serikali ya nchi hiyo tangu mwanzoni mwa karne hii kimeongezeka na kuwa zaidi ya asilimia 90, kufuatia kuboreshwa kwa maisha yao. Ripoti hiyo imesema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
  5. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari lako kuzimazima (Engine Stalling)

    Asilimia kubwa ya matatizo ya engine kuzimazima yanasababishwa na components za umeme kama Sensors, Valves, solenoids n.k. Engine inaweza kuzima muda wowote mfano wakati ipo idle, wakati unaaccelerate, wakati unafunga brake n.k. Sababu zote zinazoweza kupelekea tatizo hili zinaingia katika...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU walitishwa na CCM kuwajibishwa endapo hawatawachukulia hatua watia nia wanaojihusisha na vitendo vya rushwa

    Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote...
  7. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.) Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho. Katika sehemu ya kwanza tuliangalia Tafsiri ya Anxiety...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

    Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana. Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria. Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata. Kwanza Tanzania...
  9. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Kuwe na website maalumu kwa ajili ya wahitimu wanaotafuta kazi

    Hello JF... Nimeijibu hii katika one of the topics but nimeona tudiscuss. Kuna changamoto kubwa sasa hivi kupata ajira kwa wanaohitimu vyuoni. Hata humu tukiona graduates wakitafuta kazi yoyote itakayowafanya waishi. MImi leo ningependa kupendekeza kuwe na Facilitator/ Agency katika...
  10. tamsana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
  11. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume vs Hamu ya tendo

    Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine. Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
  12. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sawa lakini hana hela na chama hakiwezi kucheza pata potea ya kuzunguka kwa kutumia hela zake. Umasikini wa Tundu Lissu ndio tatizo

    Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu. Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu. Chama...
  14. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Maharagwe na tatizo la kujaa kwa tumbo/kuuma

    Jamani nipo Huku kwa wangoni kjiji fulani kama week plus, ila kutokana na mazingira inanibidi nitumie maharagwe everyday kama mboga kuu kwa haya maeneo kiukweli haziishi Siku mbili lazima nipige maharagwe. Sasa tatizo najiona tumbo limeaanza kujaa gas sometime linauma hasa nyakati za usiku...
  15. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kumisi (Engine Misfire), Sababu zake na baadhi ya solutions zake

    Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Video za YouTube zinastream kama kawaida kwenye TV tatizo Intenet Browser

    Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni. Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida. Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ongezeko kubwa la watu wanaovaa miwani, tatizo nini haswa?

    Halo JF. Mitaani kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kuvaa miwani tofauti na hapo zamani. Je macho ya Watanzania yanaharibiwa na mfumo wa maisha ya nyakati hizi Kama vyakula, dawa za hospital, mafuta ya kupaka usoni, kushinda muda mrefu mitandaoni, nk. Je tatizo nini haswa maana hadi vijana...
  18. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

    Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA. Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika ndoa ukiona tatizo huliwezi tengeneza tatizo lingine utakalo limudu

    Mke wangu mkali balaa, papuchi ananipa kwa ratiba. Feminist...still ananipiga bit kuwa siku agundue nina mchepuko ataanza na huo mchepuko kwanza kuufanya kitu ambacho hautajuta. Ni mjeuri mpaka nlishawahi mwamba mbata mara kadhaa na bado akawa analia huku ananisema kijeuri.siku nikaamua...
  20. Mayova

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la mtoto kukoroma kama ana kamasi puani

    Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani. Nimetumia dawa kadhaa kama vile mucolyn, citrizine na ephedrine nasal drops lakini bado hata hija saidia kitu. Naombeni...
Back
Top Bottom