Hivi wamama wa kambo tatizo lenu ni nini?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Wapendwa mimi ni Mama wa kambo wa watu wanne wamzee. Sijawahi watenga , kuwapa presha na hata kuwasema vibaya. Kula wanakula , na kila kitu wakitaka wanapata ila wamama wa kambo wengine wabaya wanachosha na wanasikitisha. Kuna mama kaolewa ana mimba na pia kaja na mtoto wake .

Sasa kamkuta mtoto wa miaka tisa na 3 ila wanavyowafanyia hadi wamechukuliwa na baba yao nakuwapeleka kwa mama yake na kijana.

Mtoto mdogo anaosha vyombo kweli na akishindwa anachapwa vibaya mno wanapewa ukoko au mara ingine hawapi chakula.

Hivi unamnyima mtoto chakula kabisa halafu unaona nisawa tu kichaa nyie halafu anakaa njaa chakula hununui wewe.
Unamuacha mtoto mchafu siku kadhaa halafu unamnyima maji eti ni ya kununua.

Nyie wa baba mko tu mnashangaa visa watoto wanafanyiwa. Wanapigwa kama paka aliyeiba kitoweo sio vizuri acheni tabia hizi ni mbaya.

Hata wewe ipo siku yako watoto wako watafanyiwa hivyo. Wengine hadi wanaua watoto wa kambo kosa sio wao. Kosa ni wewe acha roho mbaya.

Jaribu kuwa na utu jamani.
Maisha hayaendi hivyooo.
Mie nimemaliza
Mwisho wa kunukuu.
Na ninajua mpo huku nyie mafisadi .
 
Maisha ni utu, hata mtoto ukiwa hujamzaa ni vizuri ukamlea Kama wako huwezi jua huko mbeleni,
Kuna wamama wengine wa kambo wana roho nzuri unaweza Sema watoto amewazaa kumbe siyo..mungu awabariki...

Ila wamama wa kambo wanapendezea wawe na misukosuko..wakiwa wapole hawaleti Radha😂😂😂😂( natania)
 
Hakika me mwenyewe ni miongoni mwa watoto wa kambo na sikuwahi kuishi karibu na baba kutokana na migogoro ya hapa na pale, ila siku zahivi karibuni nilienda kumtembelea mzee aisee yule mama wa Kirangi ana roho mbaya balaa, yaani kana kwamba baba siyo baba yangu, hakika kamfunga mzee balaa baba hana habari na mimi kabisa ananiona kama takataka vile, naweza kaa miezi asitafute ukitafuta wewe kwenye simu hapokei inasikitisha sana.
 
Ndio ila asilimia kubwa ni wabaya
 
Wabaya sana shenzi type hapa jirani yetu huyo mama wakambo ni mrangi ni mashenzi type .
Ila usijali yote maisha utafanikiwa tu usijali.
 
Wapendwa mimi ni Mama wa kambo wa watu wanne wamzee. Sijawahi watenga , kuwapa presha na hata kuwasema vibaya. Kula wanakula , na kila kitu wakitaka wanapata ila wamama wa kambo wengine wabaya wanachosha na wanasikitisha. Kuna mama kaolewa ana mimba na pia kaja na mtoto wake .

Sasa kamkuta mtoto wa miaka tisa na 3 ila wanavyowafanyia hadi wamechukuliwa na baba yao nakuwapeleka kwa mama yake na kijana.

Mtoto mdogo anaosha vyombo kweli na akishindwa anachapwa vibaya mno wanapewa ukoko au mara ingine hawapi chakula.

Hivi unamnyima mtoto chakula kabisa halafu unaona nisawa tu kichaa nyie halafu anakaa njaa chakula hununui wewe.
Unamuacha mtoto mchafu siku kadhaa halafu unamnyima maji eti ni ya kununua.

Nyie wa baba mko tu mnashangaa visa watoto wanafanyiwa. Wanapigwa kama paka aliyeiba kitoweo sio vizuri acheni tabia hizi ni mbaya.

Hata wewe ipo siku yako watoto wako watafanyiwa hivyo. Wengine hadi wanaua watoto wa kambo kosa sio wao. Kosa ni wewe acha roho mbaya.

Jaribu kuwa na utu jamani.
Maisha hayaendi hivyooo.
Mie nimemaliza
Mwisho wa kunukuu.
Na ninajua mpo huku nyie mafisadi .

Kuna mmoja aliwahi kusema humu kwamba, anamchukui mtoto wa mumewake sababu tu anasura ya baba yake (mumewe) , na kwa hizo hasira aliwahi mpa chakula kingi akile hadi akimalize. i swear, huyo aliniboa hadi nikahisi moyo umejaa damu kwa hasira.
 
Mimi sitaruhusu watoto wangu walelewe na mama wa kambo ikitokea mama yao ametangulia sitaoa mpaka wakue wajitambue kama alivyofanya baba yangu alilelewa na mama wa kambo alipata shida sana sasa mke wake alipofariki hakuoa tena mpaka tulivyokua watoto wake

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 
Naomba id yake nimfunze adabu mshenzi huyo hana tabia
 
Mimi sitaruhusu watoto wangu walelewe na mama wa kambo ikitokea mama yao ametangulia sitaoa mpaka wakue wajitambue kama alivyofanya baba yangu alilelewa na mama wa kambo alipata shida sana sasa mke wake alipofariki hakuoa tena mpaka tulivyokua watoto wake

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
Una akili Sana, kweli kupata mke wa kutunza wanao Ni Kaz mnooo
 
Hakika me mwenyewe ni miongoni mwa watoto wa kambo na sikuwahi kuishi karibu na baba kutokana na migogoro ya hapa na pale, ila siku zahivi karibuni nilienda kumtembelea mzee aisee yule mama wa Kirangi ana roho mbaya balaa, yaani kana kwamba baba siyo baba yangu, hakika kamfunga mzee balaa baba hana habari na mimi kabisa ananiona kama takataka vile, naweza kaa miezi asitafute ukitafuta wewe kwenye simu hapokei inasikitisha sana.
hao warangi ni noma mkuu
 
Si wote wabaya wapo wazuri kuna baba alikuwa my colleague siku ya Mother’s Day alikuwa anamnunulia zawadi mama wa kambo na si mama ake mzazi tukamuuliza why akasema mama yake wa kambo alimlea kama mwanae, alijinyima kamshahara kake lakini Ali hakikisha step son wake anasoma leo hii yule baba amekuwa very successful huwa anasema sina cha kumlipa my step mom zaidi ya kumuomba baraka kwa watoto wake.
 
Huyu ni mimi
 
Back
Top Bottom