Ni mzoefu katika ufugaji.
Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika.
Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
Hello,
Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara.
Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo...
Habarini za leo marafiki.
Ndugu zangu mwenzangu ana tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Anaondoaje tatizo la kuwasha nywele kichwani baada ya kusuka.
Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga.
Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
Siku hizi imekuwa kama sifa kumsikia Mtu akijinadi kuwa yeye ni bingwa wa kuagiza bidhaa kutoka China au sehemu nyingine ya Dunia.
Kwa vyovyote Mtu kama huyu hawezi kufurahi akisikia mipango yoyote ya Nchi kutengeneza bidhaa zake yenyewe, na atafanya kila linalowezekana kuhujumu juhudi kama...
Wapendwa habari za muda huu?
Nimeona niandike uzi huu nikiwa na masikitiko kuhusu huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera aitwaye Shedrack Mhagama.
Huyu mheshimiwa amekuwa ni tatizo kwa watumishi wanaofanya kazi katika Halmashauri yake ambayo siyo kongwe sana...
Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia.
Kiukweli 24/7...
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja...
Habari wadau!
Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni.
Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na Waisraeli 13 walipoteza maisha.
Dunia imegawanyika huku upande mmoja ukiunga mkono kundi la Hamas na...
Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama...
Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!!
Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais.
Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja.
Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
==
Waziri...
Mheshimiwa Samia!
Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza.
Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
Habari za wakati huu wakuu
Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka.
Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua...
Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu.
Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe.
Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.
Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.
Ramadhan kareem!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.