tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui Tatizo litakua nini wadau

    Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui Tatizo litakua nini wadau
  2. medisonmuta

    JamiiForums Tanzania Msaada katika tatizo hili la PayPal katika kulink Kadi

    Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio chanjo ya COVID19! Tatizo chanjo imekuja kipindi cha utandawazi kila mtu ana smartphone kila mtu mjuaji

    Habari wadau, Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena mbaya zaid chanjo imekuja kipind ambacho kila mtu anamtizama mwenzake kwa jicho la mnafiki kuna...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kila binadamu hufa kwa tatizo la upumuaji, hakuna anayekufa na kuendelea kupumua

    Kila binadamu hufa kwa tatizo la upumuaji pumzi ikikata ndipo hufariki hakuna akaendelea kupumua Siku hizi kuna ujinga unasambaa mtu akifa tu utasikia lilikuwa tatizo la kupumua!! Tafsiri ya kifo chochote ni pumzi kukatika ndio maana kuangalia mtu kama kafa huangaliwa upumuaji. Sasa haya...
  5. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo la Taifa Stars kushindwa kila mechi?

    NINI TATIZO LA TAIFA STARS KUSHINDWA KILA MECHI!? Leo 12:30hrs 24/01/2021 Nakubaliana na kila Mtanzania kwa 100% na ukizingatia nchi kama Zambia,Namibia,Guinea, Zimbabwe,Rwanda,Burundi,Kenya,Uganda na Burkina Faso tupo sawa tu kiuchumi tena tunaweza kuwa tumewazidi idadi ya watu ikiwa wao wapo...
  6. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatatuaje tatizo la best friend wangu asie na marafiki wengine kudhani nampuuza napokuwa na washakaji wengine

    Kiufupi mimi ni mtu wa watu sana na nina marafiki wengi sana Hawa mrafiki sio marafiki basi tu, Ni marafiki haswa, Yani kwa siku lazima tuchekiane kwenye simu, wanakuja home mara kwa mara, nikipata matatizo husaidia, n.k Sasa ishu inakuja kwa besti yangu hapa yaani naonaga kama vile hapendagi...
  7. Kapyepye Mfyambuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani? Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya...
  8. COMOTANG

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo ya Dodoma kwa takriban wiki sasa tatizo nini?

    Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA) kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini? -DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kuweka Mistari kwenye kioo

    Wakuu, habari za Asubuhi Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea. Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari naona kama inaondoa muonekano mzuri wa simu.
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

    Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar. Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
  11. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  13. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upakiaji maudhui Instagram katika tovuti kupitia kompyuta

    Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe. Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
  15. ldd

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Hai Mjini

    Aslalekum, Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi. Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
  16. wa UDOM

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO LA SIKIO Mwanangu ana umri wa miaka 2 na nusu. Ameanza kuugua ugonjwa wa sikio kuuma na ku_discharge mara kwa mara na doctors wamekuwa wakimpa atibiotics ambazo nimeona hazimsaidii. Mara hii anaumwa ni awamu ya 3 ugonjwa kumrudia, nifanye nini...
  17. Darucha

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada juu ya tatizo hili

    Jamani mm Nina tatizo la kusikia kidogo japokuwa namshukuru mungu pia kwa sababu nawaza je ningekuwa sisikii kabisa sijui ingekuwaje kwangu hii Hali imenifanya niwe natumia nguvu Sana katika baadhi ya mambo yangu Mimi Niko chuo first year kwa mfano lecture Kama anafundisha bila Mike napata...
  18. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Ni ipi mipango ya Serikali ya awamu ya tano katika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania?

    Habari ndugu zangu, Sote tunafahamu ukubwa wa tatizo la upatikanaji wa ajira nchini kwa miaka ya hivi karibuni. Kwa kipindi tulichopo, hakuna tofauti baina ya msomi wa masters na aliyeishia darasa la pili, maana wote wanakimbilia kazi primitive zisizohitaji ujuzi wowote wa kielimu (mfano...
  19. safuher

    JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza, nikarudia kama awamu mbili...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa

    Wakuu habari ya wakti huu. Nina mwanamke wangu ambae anapata maumivu makali sana wakati wa kufanya ngono, hata penetration ni issue. Ukufanikiwa ku-penetrate bado analalamika maumivu makali. Kwa ujumla uume ukigusa tu ukeni anaanza kulalamika maumivu makali. Amewahi kwenda kwa specialist kule...
Back
Top Bottom