Je, Kula kucha ni tatizo?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,733
2,000
Tiba yake ni nini mkuu
Ni lazima kukaa na mwathirika na kuongea naye kwa kuna ili kung'amua asili ya tatizo na muda
Lakini hii inaweza pia kukupa mwanga
Anxiety: Nail biting can be a sign of anxiety or stress. The repetitive behavior seems to help some people cope with challenging emotions. Boredom: Behaviors such as nail biting and hair twirling are more common when you're bored, hungry, or need to keep your hands busy
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,611
2,000
Halafu wa hivyo ndio huwa wang'ang'anizi kwenye mahusiano..😂
 

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
713
500
Kwetu karibu sote tumekuwa na tabia ya kukata kucha kwa meno japo inafika kipindi inapungua na kama mimi nimeacha kabisa. Sijui kitaalam ikoje ila

Sababu zake
Sijui hasa sababu ni nini ila kwetu hii hali huwa inakuja tu yenyewe automatically. Sababu ya kuendele(z)a ni pale utakapogusa ukaona kuna kama kukwaruzwa fulani na kucha basi unajikuta unataka kumaliza kabisa hiyo hali

Madhara yake ni
1.kung'ata/ kula mchanga ambao utapelekea kuumiza meno na madhara mengine ya mchanga
2.maradhi ya tumbo kutokana na kula uchafu mwingine wa kwenye kucha
3.maumivu makali sana kwenye kingo za kucha kwa kando. Saa zingine inafikia mpaka kuvimba sehemu hizo kutokana na kuvuta vingozi vidogovidogo vilivyopo sehemu hizo (hii nimeexperience sana)

Tahadhari za kuchukua
1.kama unajijua una hali hiyo basi zingatia usafi wa kucha muda muda wote
2.using'ate (usizivute/usizikate)kucha kupitiliza mpaka ukavuta vile vinyama vya kando (japo mimi hii nilishindwa kujizuia kabisa)
3.japo ni ngumu ila jizoeshe kidogokidogo kutumia wembe mpaka utazoea tu na utaacha kabisa kung'ata kucha tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom