Salaam Wakuu,
Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020
===
Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.
Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na Unguja na Pemba kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kufanya operesheni ya pamoja ili kumaliza tatizo la dawa za kulevya.
Chanzo: Habari Leo Online...
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwanini ni kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna...
Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa.
Nini Tatizo?
Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo...
Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan
I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii.
Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically.
Na huu ndo ukweli.
"Hakika kunguru...
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua...
MABORESHO YA HUDUMA ZA MITANDAO YA SIMU YASIANGALIE VIFURUSHI TU.
Wakati huu ambapo mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) inajiandaa kuboresha sheria za matumizi ya vifurushi ili kuleta ufanisi mzuri kwa watumiaji ni vizuri na masuala yanayohusu kihamisha data -kasi( broad band), muunganisho kasi wa...
Habari wafugaji!!watu wengi wameuliza kuhusu tatizo la kuku kukudoana.kuku kudonoana husababishwa na vitu vingi sana kwa uchache kwa kuvitaja ni hivi.
1. Kuku kubanana au banda kua dogo ukilinganisha na idadi ya kuku.
2. Kuchanganya kuku wa umri tofauti
3. Upungufu wa madini
4. Vyombo vya...
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes)...
TATIZO LA GPS KUISHA MUDA (GPS EXPIRE)
Je kifaa cha GPS ambacho unatumia kinakwambia GPS expire?
Je umeshindwa kulipia platform online unayotumia kwa ajili ya GPS yako
Je una kifaa cha GPS ambacho umeshindwa kukitumia kwasababu umekosa platform
Je wewe ni fundi na unamiliki vifaa vya GPS na...
Nina mashine ya Maxmalipo nilikuwa anaitumia tangu mwaka 2010 lakini baada ya hapo nikaiweka pending bila kutumia ila sasa nataka kuanza kuitumia inasumbua netweki naomba kuuliza Je! hawa jamaa wa maxmalipo bado wapo?
Namba zao nikipiga hazipokelewi je napataje msaada?
Kulingana na Takwimu za ubakaji kwa kila Nchi 2021(Rape statistics by country 2021). Takwimu zinaonesha kuwa inakadiriwa asilimia thelathini na tano 35% ya Wanawake Duniani wamepitia ubakwaji, jaribio la ubakwaji, au usumbufu wa kingono katika maisha yao.
Katika Nchi nyingi zinaweka taarifa za...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum,
Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Habari za leo wakuu,
Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba.
Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa na mimi muda mrefu akanisoma. Wengi wao hujikuta wanaanza kunipenda na kuanza kunihitaji niwe nao...
TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI.
Tatizo hili pia limekua likijitokeza kwa kuku wa rika tofauti tofauti..ilaa linazidi pale kuku wanapo anza kutaga mayai
CHANZO...
MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA
Na. M. M. Mwanakijiji
Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake?
Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.