tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Tatizo liko kwa chini lakini juu naona liko sawa

  2. G

    JamiiForums Tanzania Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM wametengeneza tatizo, kisha "watalitatua"

    Nashawishika kuamini kuwa hii ni danganya Toto ili waonekane kuwa wanawajali watu au kuwa Vyombo vyetu/vyao viko pamoja nasi. Sasa hivi au baada ya muda kelele zitakapo kuwa nyingi watakuja na "kutengua" huu ujinga then watu au kile kikundi cha Praise Team wataongeza sauti ili waonekane...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  5. Risk manager

    JamiiForums Tanzania (Mshikamano) Penye tatizo Kuna fursa Ipo.

    Habari watanzania pole na makodi tunayobebeshwa. Tunaweka mlio kwani tukiweka si za kwetu mbona nyie mnaenda kuvinjari na akina polish kwa Kodi zetu. Nisiwachoshe baada ya opener ya Uzi wetu direct kwa lengo. Hapa chini nimeweka gharama ya kutuma hela na kuitoa ikiwemo na mshikamano...
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana baby wangu ila tatizo tozo

    Rahaziz mkalia nyongo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la tatizo la ajira

    Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone). Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Aina za Presha ya Kushuka na Sababu ya tatizo hilo

    AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa. 1. Postural or orthostatic hypotension (OH): Ni aina ya kushuka kwa presha ambayo hutokea mara baada ya mtu kusimama haraka. Aina hii hutegemea umri wa mtu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimeagiza mzigo AliExpress umefika bongo tangu July 1 ila kwenye tracking wananiambia delivery failed

  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

    SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation. Pia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kujua ukubwa wa tatizo kutasaidia kuliponya; kundi la wanasiasa liliumizwa sana

    Nianze hapo. Kumeibuka taswira halisi na Kali baada ya kugusia Katiba Mpya na mikutano ya siasa. Ni kama imeficha mema yote uliyofanya Kwa Siku 100 ulizokaa madarakani. Sifa zote ulizopata zimefichwa. Mama yetu mpendwa hio ndio taswira ya ukubwa wa tatizo lililopo. Watakuja makada na washauri...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

    Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  15. Lituye

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hapa alisema ukweli, tatizo sisi ni wajinga

    Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo. Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

    Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Euro 2020: Upigaji wa penati ni tatizo. Mpaka sasa zimetolewa penati 11 na zaidi ya nusu goli halikufungwa!

    Mpaka sasa kuna penati 11 zimetolewa, lakini upigani wa penati bado ni tatizo sugu!! Zaidi ya nusu ya penati hizo hazikufungwa. Tatizoni nini? Je kikwazo ni umahiri wa magolikipa au ni mbinu mbovu za wapigaji wa penati? tujadili! Ukiangalia jkubwa wa majina ya wapiga penati usingetazamia wengi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na Waziri wa TAMISEMI liangalieni hili ni tatizo

    Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa amuhamishe mtoto sababu inasemekana shule inataka division one tu ili iweze kuongoza kwenye matokeo ya...
  19. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
Back
Top Bottom