tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
  3. JamiiForums Tanzania The World Justice Project Rule of Law Index-2019: Tanzania yashika nafasi ya 91 kati ya Nchi 126 katika Utendaji wa Utawala wa Sheria Nchini

    The World Justice Project Rule of Law Index® inapima ni kwa namna gani Utawala wa Sheria unapatikana na kwa namna gani unavyotambuliwa na Umma kwa ujumla katika Nchi 126 na katika Mamlaka kwa ujumla Duniani kote kulinagana na na Uchunguzi uliofanywa kwenye Kaya 120,000 na Waatalum 3,800 Huku...
  4. JamiiForums Tanzania Kuiongoza Tanzania ni rahisi sana. Zingatia mambo makuu matatu

    Wanabodi habari za jioni! Tangu awamu zote za utawala nimeona serekali zote zikifeli vibaya sana katika kutimiza matarajio ya wananchi! Kwani wananchi wanataka nini? ngoja tuone : 1.KUSHIBA CHAKULA Wananchi wanataka uhakika wa chakula kila mwaka. Wakulima ndio wadau wakuu katika uzalishaji...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

    Ndugu wana JF, Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu. Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu. Nawakilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Kenya vs Uganda: Zisemavyo Katiba kuhusu Ushindi wa Mgombea Urais na Msamaha unaotolewa na Rais wa Nchi

    Katiba ya Tanzania, Ibara ya 41 (6) inasema Mgombea yeyote wa Kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata Kura Nyingi Zaidi kuliko Mgombea mwingine yeyote Katiba ya Kenya, Ibara ya 165 (4) inasema Mgombea atatangazwa kuwa Rais Mteule ikiwa atakuwa amepata zaidi ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Kuna siku Tanzania itachagua " mtoto wa Ibilisi" kuwa Rais au mbunge kama mtaendelea kuwalealea

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amewakemea viongozi wa mkoa wa Tanga kwa kushindwa kulidhibiti kundi la watoto watukutu na waalifu wajiitao Watoto wa Ibilisi. Dr Bashiru amesema uzembe wa kulilea kundi hilo ukiendelea kuna siku tutapata diwani, mbunge au Rais aliyeasisiwa ndani ya kundi hilo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Jangwa la Sahara ni chanzo cha umasikini Tanzania

    Hongereni kwa kuvuka mwaka wanajamii. Hii hali ya kushindwa kukidhi mahitaji muhimu kwa binadamu imekuwa ikusumbua sana nchi maarufu zipatikanazo CHINI YA JANGWA SAHARA. Hali hii sasa inafafanuliwa kama hali ya kuishi chini ya dola moja na umoja wa mataifa hii hali ni umaskini. Kumekuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza. Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea msaada kutoka Sweden ili kuboresha sekta ya elimu

    Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE. Akizungumzia msaada huo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wizara ya fedha na...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hizi zote ni bendera za Tanzania au macho yangu ndio hayaoni vizuri?

    Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania. Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada. Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Zanzibar yafikia shilingi bilioni 2874, sawa na trilioni 2.874 kwa mwaka. Tanzania Bara tunayo ya kujifunza kutoka Zanzibar

    Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874. Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

    Per Capital income; Singapore > 60 000 vs Tanzania < 2 000 USD! Nchi ya Singapore na Tanzania tuna fanana karibia kila kitu isipokuwa Jiografia na Utamaduni lkn karibia kila kitu kipo sawa kuanzia aina ya Mkoloni, kipindi tulichopata Uhuru mpaka aina ya Mfumo unaotawala nchi zetu tuko sawa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

    Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki. Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif. Karibu kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Habari, Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana. Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani? Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani? Kingi chochote nijue? Asante sana
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Waziri wa Fedha Dr Mpango: Maoni kuhusu vikwazo katika kufanya biashara Tanzania

    UTANGULIZI Wakuu; hivi karibuni Waziri wa Fedha Dr Mpango alialika watu kutoa maoni yao kuhusu mambo wanayoyaona kuwa ni kikwazo (au vikwazo) kwao katika kufanya biashara na akaahidi kuwa serikali itayafanyia kazi maoni hayo. Ni kwa sababu ya wito huo (najua watu wa serikali hupitia hapa) natoa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Move over Turkana, Tanzania to soon have largest wind power farm in Africa

    Will Tanzania soon have the largest wind farm on the African continent? This could be possible if the project of the Chinese group Sany Heavy Industries comes to fruition. The group, which specialises in the manufacture of construction machinery, is diversifying its activities, also producing...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania election: Life has got worse under Magufuli we need change...

    POLITICSTANZANIATOP STORY Tanzania elections: Life has got worse under Magufuli. We need change. BY ZITTO KABWEJANUARY 8, 2020 SHARE: Opposition leader Zitto Kabwe says the past four years of CCM rule have been disastrous and lays out his vision for a thriving and happy Tanzania. Opposition...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…