Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Katika baadhi ya mikoa kusini na Pwani ya Tanzania, suala la binti kupatiwa mafunzo maalumu ya kimila ni desturi ambayo si ngeni, wao wanaita kumtoa Mwali.
Utamaduni huo ujumuisha wasichana kuwekwa ndani kwa muda wa miezi kadhaa kwa ajili ya kufundwa na wataalamu wa masuala hayo.
Jambo hili...
Wana JF, tazameni hiyo video muone jinsi wanafunzi wa Kimarekani wanaosomea lugha ya kiswahili huko Chuo Kikuu Cha Indiana (Bloomington Campus) wakiendesha mdahalo wa Wagombea Urais wa Tanzania kwa kuchambua hoja mbalimbali ambazo ni kipaumbele na changamoto zinazozikabili taifa. Wako mstari wa...
Wanajamvi habari za mapumziko.
Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati.
Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
The African Development Bank’s (AfDB) board in Abidjan approved of the US$384.22m financing package for road construction support for the Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro and Tanga-Pangani-Bagamoyo roads Phase I (Kenya to Tanzania).
It is in the form of the African Development Bank and African...
Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi...
JPM akiwa Mwanza kwenye sherehe za uhuru
Wenye wivu huwa hawakosekani, Chapa kazi JPM watanzania wengi tupo pamoja katika kulijenga Taifa. Hizo ni data the WB full story fuata link hapo chini.
=====
Poverty declines in Tanzania over past decade
By PAUL REDFERN More by this Author
Tanzanian...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
WAKATI ikielezwa kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinazofikiwa na Ziwa Victoria, zinapoteza karibu Dola za Marekani bilioni 60 kila mwaka kutokana na kutolitumia vyema ziwa hilo, Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk John Magufuli, imekuja na mikakati kabambe itakayohakikisha inavuna...
Karibuni wadau.
Nashauri kila mtu aseme nini kinaendelea pahala alipo ili kama ni dharura isaidie kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika. na kama ni heri labda unakula supu au mishkaki napo si mbaya ukitutoa udenda.
Mimi kwa kuanzia nipo mitaa ya Ilala boma kwa sasa. Naelekea kibaruani kwangu...
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali...
Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo).
Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za...
Human development index(HDI) inawezekana kuwa msamiati mpya kwa walio wengi kama moja ya kiashiria cha maendeleo ya nchi. Kwa walio wengi itakuwa tumesikia mara nyingi kuhusu ukaji wa uchumi (GDP) lakini GDP haikuwahi kuwa kiashiria cha maendeleo ya kiuchumi bali ni quantitative increase ya...
Baada ya kuona ndege imeachiwa mabeberu wametoa hii 👇...
KWA UFUPI NI...
Rais wa Tanzania John Magufuli anaendelea kuiongoza nchi yake mbali na utawala bora, demokrasia na haki za binadamu.
Hatua yake ya hivi karibuni ilikuwa kuondoa tamko la Tanzania likiruhusu Mtanzania mmoja mmoja...
Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24
Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi.
Nilikuwa Nigeria niliingia saa...
December 13, 2019
Kemondo Bay, Tanzania
Serikali Kuanza Kuruhusu Makampuni kununua Mabehewa na Vichwa vya treni
Hatimaye serikali kupitia Waziri wa Uchukuzi Mh. Isaack Kamwelwe imetoa kauli kuwa itaruhusu kampuni binafsi kununua mabehewa / rolling stock na vichwa vya treni / Locomotives ili...
Aman iwe nanyi wakuu
Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana.
Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
Wanabodi,
Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?.
Jee wanawake wetu Tanzania ni duni au dhaifu Kiongozi wa siasa?. Kama wanawake wetu si duni na si dhaifu na...
With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers.
Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
Nchini Tanzania iko sheria inayosimamia uendeshaji wa biashara ya dawa za binadamu , inaitwa Pharmacy Act , humu
imewekwa miongozo na utaratibu wa namna ya kufanya biashara hii. Nikiri kwamba mimi si mtaalam kabisa kwenye sekta hii lakini nilipata msukumo wa kuchunguza sekta hii baada ya...
Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa).
“Ndege yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.