Dr Bashiru: Kuna siku Tanzania itachagua " mtoto wa Ibilisi" kuwa Rais au mbunge kama mtaendelea kuwalealea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amewakemea viongozi wa mkoa wa Tanga kwa kushindwa kulidhibiti kundi la watoto watukutu na waalifu wajiitao Watoto wa Ibilisi.

Dr Bashiru amesema uzembe wa kulilea kundi hilo ukiendelea kuna siku tutapata diwani, mbunge au Rais aliyeasisiwa ndani ya kundi hilo.

Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hayo akiwa Pangani mkoani Tanga.

Source Channel ten habari

Maendeleo hayana vyama!
 
yeye anajiweke wapi? Mbona yeye ni mfano mzuri sana
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amewakemea viongozi wa mkoa wa Tanga kwa kushindwa kulidhibiti kundi la watoto watukutu na waalifu wajiitao Watoto wa Ibilisi.

Dr Bashiru amesema uzembe wa kulilea kundi hilo ukiendelea kuna siku tutapata diwani, mbunge au Rais aliyeasisiwa ndani ya kundi hilo.

Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema hayo akiwa Pangani mkoani Tanga.

Source Channel ten habari

Maendeleo hayana vyama!
Suala la kukemea viashiria vya uvunjifu wa amani na wahalifu si suala la kisiasa kwa hiyo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanapaswa kumwomba Rais kazi nyingine kwa kuwa hii imewashinda...kwanza ni aibu mkoa wa Tanga ambao vijana wengi wamekaa kimayai mayai kuwa tishio kwa amani ilihali mkoa wa Mara ukitoa vijana bora kabisa kwenye kipengele cha amani...
 
Akina January wamekaa kimayai mayai?..........acha urongo bhana!
 
mbona maisha tunayoishi sasahivi ni ya kiibilisi kabisa.. no joking yaani nipo serious kabisa haya maisha ni ya kule motoni ila tunaishi duniani
 
Mbona tayari alishachaguliwa mtoto wa Ibilisi? Anaua bila kujali, anateka, hana huruma, nk
 
Back
Top Bottom