Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari wadau!
Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia.
Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
Habari Wanajamvini,
Hivi sisi Watanzania na Jeshi la Polisi ni watu wanafki sana hasa kwahili suala la kuendesha umelewa. Jana nilienda na gari yangu Police Mess nikanywa Konyagi zangu mbili nikaondoka nikawasha gari yangu huyo, huku baadhi ya polisi wakinisalimia, na wengine niliwazungushia...
Wana JF,
Hadi kufikia leo hii mimi binafsi nimeelimika sana tangu nilipojiunga na JamiiForums miaka kadhaa iliyopita.
Ni jukwaa ambalo wanachama wake ni kutoka kila fani nchini Tanzania. Kwa masuala yoyote ya Siasa, Jamii, Uchumi na Michezo; vyote vipo JF.
Ni media ambayo hufichua maovu...
Binafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu.
Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara.
Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini?
Chukulia mfano...
Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni.
Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR.
Leo 19:15pm,28/12/2019
Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta tija,Mdau wa Diaspora amejibu maswali kiufasaha kuhusu ujenzi wa daraja kutoka Dar hadi Zanzibar ili wadau...
Katika miaka ya hivi karibuni watanzania walio wengi wanaonekana kuelemea upande wa sanaa katika kila kitu.Sanaa ipendwayo zaidi siyo ile ya uchongaji vinyago na uchoraji vibonzo ,La ! bali ni kuimba na kucheza muziki na kubwatuka kwenye maigizo. Fedha nyingi za masikini na matajiri zinaishia...
Serikali ya Tanzania na ile ya Israel zimekubaliana kubadilishana watalii ambapo sasa itatumika ndege moja tu kuwasafirisha watalii wa nchi hizi mbili.
Utaratibu ni kuwa ndege itakayowaleta watalii kutoka Israel ikifika KIA itawashusha na kuwachukua mahujaji wa Tanzania wanaoelekea Israel kisha...
Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
Tangu mwaka tisini na mbili wakati nyerere akiwa hai aliona siasa ya ujamaa imefeli na aliona sisi sio kisiwa tusalimike akaamuru mfumo wa vyama vingi urusiwe kwa mara ya kwanza baada ya ule wa wakati wa kupigania uhuru kufutwa rasmi baada ya kuwa huru.
Namuona rais wetu john magufuli...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano.
Naomba kuanza na angalizo,
Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
WATALII zaidi ya 450 kutoka Israel, wamewasili nchini mwezi huu kwa ajili ya kutembelea vivutio vya kitalii vilivyoko Kaskazini mwa Tanzania.
Watalii hao wamekuja nchini kwa kutumia ndege binafsi na za kawaida. Kundi la kwanza la watalii 150 liliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole Magoti
Pole Azory
Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,
Unamkamata mtu umtese akupe habari...
Wana jamvi naamini hamjambo wote
Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha...
Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara.
Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
World citizen good morning,
Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.