Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.

Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.

Karibu kwa majawabu.

cc Pascal Mayalla, FayzaFox
 
yeah kiitifaki makamu wa pili wa raisi wa zanzibar ni wa 6 kiukubwa.....uwe unatazama hata magari ya escort yale yanayobeba walinzi...raisi wa JMT ni E 1 (escort 1) makamu wa rais JMT ni E 2, raisi wa zanzibar ni E3, waziri Mkuu ni E 4, makamu wa kwanza wa rais zanzibar ni E 5 ambapo saivi hayupo, makamu wa pili wa raisi zanzibar ni E 6........hio nimeku elewesha kwa itifaki ya code za kiulinzi wa viongozi wa kitaifa yule ambae escort yake ni 1 means ndio mkubwa hivohivo no zinavyoshuka ndivo huonesha seniority

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.

Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.

Karibu kwa majawabu.

cc Pascal Mayalla, FayzaFox
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano (ambaye kwa sasa ni Mh. Sana Majaliwa Kassim Majaliwa) ni mkubwa zaidi ya hapo...wajuvi wa mambo wanajua
 
Unauliza majibu?
 
Ina maana wewe hadi leo haujui kuwa Zanzibar ni nchi huru?
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania/Zanzibar ni subset ya Tanzania

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ni mtoto kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT)

Then usitarajie viongozi wa Muungano wakawa wadogo/chini ya viongozi wa Zanzibar
 
Lazima Mjue Zanzibar Nafasi Ya Makamu Wa Pili Haikuwepo Hapo Kabla Isipokuwa Iliwekwa Kwenye Masuala Ya Usuruhishi. Yaani Hapo Zamani Alijulikana Kama Waziri Kiongozi.

Ulipotokea Mgogoro Wa Maalim Seif Ndiyo Hiyo Nafasi Ikawekwa Kuondoa Ukakasi Kwenye Utawala
Hadi Hapo Naamini Utakuwa Umeelewa Suala La Ukubwa Wa Nafasi Kiitifaki
 
Back
Top Bottom