tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Tanzania umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019

    Imeripotiwa kuwa Mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019. Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth Minja ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 10, 2019 mjini Dodoma...
  2. C

    JamiiForums Tanzania The Disneyland in Tanzania!

    The Simiyu Regional Commissioner managed to convince investors to replicate the world’s famous American facility to by-pass mega cities such as Cairo, Lagos, Johannesburg or Cape Town. === Simiyu Region to host Africa’s pioneer Disneyland theme park Simiyu Regional Commissioner Anthony Mtaka...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

    Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea 1. Sir Andy Chande 2. Reginald Mengi. 3. Rugemalila/Ruge Mutahaba 4. Ally Mufuruki 5. Ndesamburo/Ndesapesa 6. Ongeza wengine...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Al Muntazir Schools Tanzania

    Overview The AI Muntazir Schools are managed under the auspices of KSIJ Central Board of Education, a Non-Profit Organization, providing quality education to students from multicultural backgrounds and comprises several schools spread over many campuses, providing education at Toddlers, Nursery...
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji tafiti nyingi za wanataaluma wake ili kubaini hali yake ilivyo kiuhalisia

    Nimestushwa sana na Utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia na kuonesha hali ya umasikini kupungua Nchini kwa vigezo kama umiliki wa simu na mali nyingine.... najiuliza hivi kweli vigezo hivyo ndiyo vinazuia picha halisi ya maendeleo yetu? Kuna haja ya wanataaluma wa Nchi hiii kuwajibika na...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Court of Appeal of Tanzania decisions

    Wanaoratibu kuweka hizo decision kwenye mtandao kulikoni? Sasa is almost a month bila kuweka any decision wakati court sessions zimefanyika na zinaendelea kufanyika. Kesi ya mwisho ilikuwa hii: Attorney General vs National Housing Corporation & Others (Civil Appl. No.432/17 of 2017) [2019]...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya upinzani kuonesha kusitasita, watanzania wanaitazama Lumumba kama sehemu pekee ya kuwekeza kwa Tanzania ya kesho

    Licha ya sababu mbalimbali za kiuchumi na kisiasa zilizofanya nchi yetu kuanzisha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza kufanyika 1995 lakini bado CCM ni tumaini pekee la watanzania. Kuanzia uchaguzi wa 1995 mpaka wa mwaka 2015, CCM imekuwa ikishinda na ushindi wa kishindo...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.

    Wanabodi, Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti zipande, kisha zitakuja kuunganishwa mbele ya safari, lakini isiwe...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Commonwealth Parliamentary Association (CPA)

    Secretary-General/Chief Executive Officer (CEO) at Commonwealth Parliamentary Association Tanzania Job title: Secretary-General/Chief Executive Officer (CEO) Reporting to: General Assembly/Executive Committee Direct Reports: Director of Operations, Finance Director, Head of Parliamentary...
  11. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

    Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya kwanza tu. Kweli kwenye mapambano muhimu kama haya yanayotazamwa duniani kote tunapeleka mabondia wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuwe na Tume huru ya Uchaguzi

    Imenishangaza mpaka sasa hasa wapinzani hawajadai tume huru ya uchaguzi. Hii haitakuwa nzuri kwa taifa tujiandae muhula wa pili kuwa mgumu kwa Magu. Kwanza kwasababu ya kutokuwa na tume huru jumuia za kimataifa zitatugomea kwenye mambo mengi. Pili pesa za watalii zitapungua kwa chaguzi za kenya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Lukuvi ina taarifa jinsi ‘Wapangaji‘ wa Nyumba ‘tunavyonyanyaswa‘ na wenye Nyumba?

    Yaani hadi najuta sijui ni kwanini nimekuwa Mpayapaya/ Masikini/ Mbayuwayu hivi kiasi kwamba miaka yangu nenda rudi nashindwa kupata Kipato cha hata Kununua tu ‘ Simenti ‘ mfuko Mmoja ili name nianze Ujenzi wa Kujenga ‘ Kakibanda ‘ Kangu niondokane na ‘ manyanyaso ‘ ya ‘ Kimakusudi ‘ kabisa...
  14. Ole

    JamiiForums Tanzania World Bank delighted by projects' progress in Tanzania

    The World Bank (WB) has appreciated the way government development projects in Arusha Region have been well implemented, reiterating its willingness to release 450m USD for the next phase of Productive Social Safety Net (PSSN) programmes. The appreciation was made after Arusha Regional...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  16. pinno

    JamiiForums Tanzania Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake. Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

    Habari za asubuhi wadau! Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania World Bank Report: Transforming Agriculture | Realizing the Potential of Agriculture for Inclusive Growth and Poverty Reduction

    Benki ya Dunia inazindua sasisho la 13 la Uchumi wa Tanzania lenye jina la 'Mabadiliko katika Kilimo: Kutambua Uwezo wa Kilimo kwa Ukuaji wa Pamoja na Kupunguza Umasikini,' linalotoa udharura katika kuunga mkono sera za umma na kusaidia Umati wa Watu katika uwekezaji wa sekta binafsi na kuchukua...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia kuishtaki Tanzania kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya haki za binadamu Afrika

    Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema wanatafakari kuIshtaki Serikali ya Tanzania katika kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika. Katika barua...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere’s legacy: Where is Tanzania heading?

    Friday, 9 August 2019 Author: Nick Westcott I visited Tanzania last month for the first time in five years, and the first time since John Magufuli was elected President. I have been visiting the country regularly since 1976, spending a year living there in 1979 as a student, and three years...
Back
Top Bottom