Move over Turkana, Tanzania to soon have largest wind power farm in Africa

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Will Tanzania soon have the largest wind farm on the African continent? This could be possible if the project of the Chinese group Sany Heavy Industries comes to fruition. The group, which specialises in the manufacture of construction machinery, is diversifying its activities, also producing wind turbines.

For several years, the company has been developing its own projects. In Tanzania, it has obtained an agreement with the government to build a wind farm capable of producing 600 MW, making it the largest facility of its kind on the African continent, thus offsetting the Lake Turkana wind farm which supplies 310 MW of electricity to the grid in Kenya.

SOURCE: Sany Heavy Industries will produce 600 MW of wind energy in Tanzania | REVE News of the wind sector in Spain and in the world
 
Wow 600 MW kutokana na upepo tu? Nangojea kuona hiyo project binafsi ni ngumu kuamini, lkn wacha tusubiri!
Kama 310 MW ilitusumbua sana na ikadelay kwa miaka kadhaa, hiyo yenu ya 600 MW either haitafanikiwa au itachukua muda mrefu kutimizwa
 
Njaa na ujenzi wa projects wapi na wapi? Njaa haijatuzuia kujenga standard gauge railway, Lamu port au Lake Turkana wind farm. Baki hapo ukiongea kuhusu njaa.
Huko kwenu Kaskazini kuna barabara? Reli? Bandari? Sisi kila kwenye source ya umeme (windfarms) kuna aidha barabara ya lami ama reli au vyote na vikiunganishwa na Bandari za Dar na Tanga! Mfano Singida n Hedaru Same! Muache upumbavu kufikiri tupo sawa kimiundombinu! Kingine hatuingii mikataba ya kipumbavu!
 
BRT inawasumbua ata hamjui pa kuanzia. Miaka inasogea, Mara mnapaka rangi barabara, Mara mnarudi nyuma na kuanza study upya! Huku Tz BRT is up and running mpaka kupewa tuzo za kimataifa na phase two ujenzi unaendelea. Sizani kama kuna nchi Africa inaichukulia Kenya mfano kwenye kujenga miradi. Halafu hao wanaojenga ni wachina, Sasa kama mmeshiba chakula cha misaada mpaka mnajiona mnanguvu kuliko wanao wapa hiyo misaada ya chakula hili ni tatizo kubwa sana.
Kama 310 MW ilitusumbua sana na ikadelay kwa miaka kadhaa, hiyo yenu ya 600 MW either haitafanikiwa au itachukua muda mrefu kutimizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do you know that your electricity connectivity stands at 32% while that of Kenya is at 75%?
Are you aware that your paved roads are around 7,000km while that of Kenya is at 18,000km?
Huko kwenu Kaskazini kuna barabara? Reli? Bandari? Sisi kila kwenye source ya umeme (windfarms) kuna aidha barabara ya lami ama reli au vyote na vikiunganishwa na Bandari za Dar na Tanga! Mfano Singida n Hedaru Same! Muache upumbavu kufikiri tupo sawa kimiundombinu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I rather board a manyanga which I'm sure of getting a seat than to board ya fucking BRT that 90% of passengers stand.
BRT inawasumbua ata hamjui pa kuanzia. Miaka inasogea, Mara mnapaka rangi barabara, Mara mnarudi nyuma na kuanza study upya! Huku Tz BRT is up and running mpaka kupewa tuzo za kimataifa na phase two ujenzi unaendelea. Sizani kama kuna nchi Africa inaichukulia Kenya mfano kwenye kujenga miradi. Halafu hao wanaojenga ni wachina, Sasa kama mmeshiba chakula cha misaada mpaka mnajiona mnanguvu kuliko wanao wapa hiyo misaada ya chakula hili ni tatizo kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BRT inawasumbua ata hamjui pa kuanzia. Miaka inasogea, Mara mnapaka rangi barabara, Mara mnarudi nyuma na kuanza study upya! Huku Tz BRT is up and running mpaka kupewa tuzo za kimataifa na phase two ujenzi unaendelea. Sizani kama kuna nchi Africa inaichukulia Kenya mfano kwenye kujenga miradi. Halafu hao wanaojenga ni wachina, Sasa kama mmeshiba chakula cha misaada mpaka mnajiona mnanguvu kuliko wanao wapa hiyo misaada ya chakula hili ni tatizo kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh

Kuwa na huruma bas mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom