Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati wa kuwa wamoja na kuongeza upendo.
Inasikitisha kuona kwamba kwa kipindi Cha miaka minne taifa...
Tanzania yetu ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani kwa ongezeko la watu, kwa mujibu wa statista mwaka 2100 nchi yetu itakuwa zaidi ya watu milioni 200 na moja kati ya nchi kubwa kwa idadi ya watu Duniani.
Najiuliza hao watu watakula nini? Wataishi wapi na kulala wapi? Duh, sipati...
HII KAULI YA KUWAAMBIA VIJANA WAJIAJIRI INAWAKERA SANA.
Na Thadei Ole Mushi.
Mzee Mangula Shikamoo!!! Mwenye number ya Mzee Mangula Mpeni huu Ujumbe wa kutaka vijana wajiajiri. Mwambieni kuwa:-
Kiongozi anayepokea Mshahara kila Mwezi, Posho kila Siku, anawekewa mafuta ya gari, analipiwa...
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari ametangaza kuvifunga viwanja vidogo vya ndege 208 baada ya kubainika kushindwa kufuata kanuni ya 323 na kanuni nyingine za usafiri wa anga za viwanja vya ndege za mwaka 2017.
Amesema kanuni hizo zinakataza uendeshaji wa...
Utumiaji wa simujanja (smartphones) unakadiriwa kuongezeka nchini Tanzania ifikapo 2024 kufuatia kuongezeka kwa matumizi ya intaneti katika kiwango cha (3G) na kukuzwa kwa mtandao wa 4G na wamiliki wa mitandao ya simu
Usajili wa simujanja utakua kwa haraka kila mwaka katika kiwango (CAGR) cha...
Leo Jumatatu Desemba 23, 2019 Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kujiuzulu kwa wakurugenzi wawili Andries Delport na Till Streichert kuanzia Mei na Juni 2020.
Wakurugenzi wawili wa bodi ya kampuni ya Vodacom Tanzania; Andries Delport na Till Streichert wametangaza kujiuzulu.
Tangazo...
Habari za hapa wakuu.
Leo nimekuja na hili la Bomba la TAZAMA.
Sijawahi kusikia likitoa nafasi za ajira kwa Watanzania au hata kwa wasio Watanzania.
Sijawahi kusikia likitoa gawio kwa serikali. Sijawahi kusikia likitangaza hasara. Sijawahi bajeti yake.
Tunapata faida gani kama Taifa kwa hili...
Waziri wa TAMISEMI Mh. Jaffo amesema hatashangaa endapo mkuu wa wilaya ya Kisarawe mh Joketi atapandishwa cheo kwa sababu ndiye DC anayeongoza kwa kuchapa kazi kuliko wakuu wa wilaya wote Tanzania.
Mh Jaffo amesema ameamua kuyasema hayo kwa sababu yeye siyo mnafiki kwani wanafiki wana tabia ya...
Dodoma 20, 2019
WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini
Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
Mamlaka hiyo imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo.
Aidha, imesema wananchi wanatakiwa kwenda kusajili laini zao kwa kutumia vitambulisho vya uraia, na kuthibitisha usajili huo kabla ya muda uliowekwa kwa kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kuzifunga.
Akizungumza...
Kuna wakati nilimsikia waziri Kabudi akiwaelimisha wakenya juu ya madhara ya ukabila na kwamba chanzo chake ni uroho wa madaraka. Na siku zote mtu mroho daima huwa mchoyo.
Baadhi ya wakenya waliguna wakauliza.........Mbona vyama vya upinzani Tanzania vimejengwa katika misingi ya ukanda na...
Airtel Tanzania PLC is looking for a suitable Tanzanian candidate for the IT Products & Promotions Engineer Position.The purpose of this position is to discuss with the commercial department to facilitate Commercial product development and campaigns.
He/She will be responsible to ensure the...
Katika baadhi ya mikoa kusini na Pwani ya Tanzania, suala la binti kupatiwa mafunzo maalumu ya kimila ni desturi ambayo si ngeni, wao wanaita kumtoa Mwali.
Utamaduni huo ujumuisha wasichana kuwekwa ndani kwa muda wa miezi kadhaa kwa ajili ya kufundwa na wataalamu wa masuala hayo.
Jambo hili...
Wana JF, tazameni hiyo video muone jinsi wanafunzi wa Kimarekani wanaosomea lugha ya kiswahili huko Chuo Kikuu Cha Indiana (Bloomington Campus) wakiendesha mdahalo wa Wagombea Urais wa Tanzania kwa kuchambua hoja mbalimbali ambazo ni kipaumbele na changamoto zinazozikabili taifa. Wako mstari wa...
Wanajamvi habari za mapumziko.
Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati.
Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
The African Development Bank’s (AfDB) board in Abidjan approved of the US$384.22m financing package for road construction support for the Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro and Tanga-Pangani-Bagamoyo roads Phase I (Kenya to Tanzania).
It is in the form of the African Development Bank and African...
Wasalaam.
Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni
1. LG G8 Thinq
2. iPhone X / XS Max / 11
3. Google Pixel 4 XL
Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi...
JPM akiwa Mwanza kwenye sherehe za uhuru
Wenye wivu huwa hawakosekani, Chapa kazi JPM watanzania wengi tupo pamoja katika kulijenga Taifa. Hizo ni data the WB full story fuata link hapo chini.
=====
Poverty declines in Tanzania over past decade
By PAUL REDFERN More by this Author
Tanzanian...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.