fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 609
- 898
Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874.
Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa kiwango cha kutosha, na kuifanya nchi yetu kuwa ya Uchumi wa Kati kimapato.
Idadi ya watu katika mikoa yote mitano ya Zanzibar inalingana na idadi ya watu katika mkoa mmoja mmoja ya Tanzania Bara.
Kama kila mkoa utakuwa na mapato kama Zanzibar, au zaidi, nchi yetu itakuwa kwenye njia sahihi ya kuboresha maisha yetu.