Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Ndugu wana JF,
Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu.

Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu.

Nawakilisha.
 
Ndugu wana JF,
Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu.

Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu.

Nawakilisha.
Mkuu wangu hili nalo neno!....Sidhani kuna sababu ya maana na inashangaza sana, pengine tunafuata sheria za Uingereza. Bendera ya Taifa inatakiwa kupepea muda wote, tunapoishisha usiku ina maana kwamba hata Taifa letu huenda kulala..
 
Hivi bendera ikipeperuka usiku nani ataiona?


Ahh, kumbe shida ni kuonekana tu? kama ndiyo, basi kwa maeneo yenye umeme, wasingezishusha, wangeweka/wangufunga taa ili zionekane usiku pia
 
mkuu wangu hili nalo neno!....sidhani kuna sababu ya maana na inashangaza sana, pengine tunafuata sheria za uingereza. Bendera ya taifa inatakiwa kupepea muda wote, tunapoishisha usiku ina maana kwamba hata taifa letu huenda kulala..

sio taifa ni serikali
 
na kwanini tuwe tunasimama ikishushwa na kupandishwa?na umbali gani unatakiwa usimame au usisimame
inanikera sana hii kitu
 
Mimi pia sifahamu kwa nini, mbona bendera zote zilizo umoja wa mataifa hazishushwi, itakuwa haina ulazima fulani.
 
na kwanini tuwe tunasimama ikishushwa na kupandishwa?na umbali gani unatakiwa usimame au usisimame
inanikera sana hii kitu

The national flag is one of the national symbols as the national anthem. That's why we give that respect to them. I'm not sure with the distance.
 
Hiyo mie nakumbuka ni mashuleni na vituo vya polisi, kwingine sioni kama hilo linafanika!
AU na UN zinapepea tu 24/7
 
HOJA HII NI YA MUHIMU SANA.. Tena nasema sana.. NA JAMBO HILI NI HATARI SANA KUONGELEWA .. Miliko ya serikali, WHY MWENGE?!!??, why TWIGA as a national animal symbal.. Nadhani ni muda sasa wa kuongelea mambo Haya.. Nadhani sasa wazendo Wa kweli wanaamka Na hoja.. Ngoja kwanza tuone mwisho wa sakata la Vicent vs Mkapa litaishia wapi.,
 
Kuanzia saa kumi na2 ya asubuhi, mpaka kumi na 2 jioni Nchi inakuwa kwenye himaya mh.Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tz. Ndiyo maana ikifika muda huo si bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya mh. Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF=Tanzania people defence foces Nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Nchi inapandishwa mara moja.
 
Waluu naomba kuuliza kwa nini bendera ya TAIFA hupandishwa saa kumi na mbili asubuhi na kushushwa saa kumi na mbili jioni?

asnteni kunijuza kwani kuuliza si ujinga
 
Bendera hushushwa kwa kuwa huwezi kuiona gizani

1464905206017.jpg
 
Back
Top Bottom