Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Per Capital income; Singapore > 60 000 vs Tanzania < 2 000 USD!
Nchi ya Singapore na Tanzania tuna fanana karibia kila kitu isipokuwa Jiografia na Utamaduni lkn karibia kila kitu kipo sawa kuanzia aina ya Mkoloni, kipindi tulichopata Uhuru mpaka aina ya Mfumo unaotawala nchi zetu tuko sawa, lkn kwa nini Singapore wamefikisha zaidi ya 60 000 USD per capital na sisi tuko kwenye 2 000?
Singapore inaongozwa na Chama kimoja kuanzia Uhuru kwanza unaweza kusema Vyama vingi ni kama hakuna, Singapore kuna all powerful President kama tu Tanzania anateua na kufukuza karibia kila mtu, tena Singapore siyo kila mtu anaweza kuwa Raisi wa nchi kama Tanzania ni wachache tu, Singapore hata Uhuru wa habari wa kujieleza hakuna yaani Gazeti haliwezi kuandika inachotaka, sasa Singapore imewezaje kutajirika kwa kutumia Katiba kama yetu na sisi tushindwe?