tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

    Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo. Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
  2. Wanafunzi waliochaguliwa kozi ya foundation Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania) mwaka 2019/2020

    https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
  3. Wanafunzi waliochaguliwa foundation course Chuo Kikuu Huria cha Tanzania 2019/2020

    https://www.out.ac.tz/wp-content/uploads/2019/09/OFP-Approved-Applicants-for-201920-round-1-and-2-for-website.pdf
  4. M

    Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!

    Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania! Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua! .... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
  5. K

    Tatizo: Hatuna chama hata kimoja kizuri Tanzania

    Baada ya kufuatilia kwa muda nimegundua tatizo mojawapo tulilonalo ni la kisiasa. Tanzania hatuna na hatujawahi kuwa na chama chochote cha siasa kizuri. Hivyo tuna chaguzi ambazo wananchi tunalazimishwa kuchagua nani mbaya kidogo kuliko wengine. CCM chama tawala kama wangekuwa wazuri wasinge...
  6. Tanzania supports China on Hong Kong crisis, blames Western media

    Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong. Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five...
  7. U

    NSSF Tanzania na mzunguko mrefu wa ulipaji mafao

    Habari wanajamvi! Hoja yangu ni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF kuwa na mzunguko mrefu kwa wateja wanaodai mafao yao. Wanachama tumekuwa tukikatwa fedha kila mwezi na mwajiri hivyo hivyo kwa ajili ya kumsaidia huyu mwajiriwa pindi anapokosa ajira, kustaafu, na faidi zingine kama...
  8. Top Universities in Tanzania in 2020

    What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria: being chartered, licensed or accredited by the...
  9. J

    Kushabikia siasa za upinzani Tanzania yakupasa uwe na moyo kama wa Mwendawazimu

    Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu. Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za...
  10. TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  11. Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

    KAMA unatumia mtungi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako, basi fahamu kwamba mtungi huo umeundwa nje ya nchi. Lakini muda si mrefu, mitungi ya aina hiyo itaanza kutengenezwa Tanzania na gharama zake zinatarajiwa kuwa nafuu kuliko ilivyo sasa. Akizungumza katika Maonesho ya Viwanda Mkoani Pwani...
  12. Mining and oil and gas reforms, a comparison between Kenya and Tanzania

    Since many Kenyans are mocking the gains to the Government of Tanzania from the agreement between government and Barrick Gold, it's time to see how Kenya fairs in relation to Tanzania. Munyes: Sh300bn Turkana oil deal to remain secret Poor left out of mining profits as 'resource curse' hits...
  13. Jinsi Wakenya wanavyotajirika na pumba za karanga za Tanzania

    Hii ni kwa wale wanaopenda maisha bora! Hawa Wakenya jamani mimi kila week nawaona huku; wanakuja na gari wanasomba pumba nyingi kweli kweli wanapeleka kwao, lakini nimejaribu kuwahoji wanaishia kuniambia endeleeni kulialia tu😭...! Wanatudharau sana pia! Pia, wanachukua karanga kwa wingi sana...
  14. Achana na Tanzania, hawa ndio marais waliobadili Katiba zao ili Wasiondoke Madarakani

    Habari zenu wakuu, Hivi karibu kuna Mkulima alienda Mahakamani hapa Tanzania ili kuomba Katiba ibadilishwe ili rais Magufuli aendelee kutawala ili amalizie Miradi yake aliyoianzisha. Rais Magufuli kafanyia makubwa hii nchi kwa kipindi kifupi. Je hawa marais waliobadilisha katiba zao...
  15. Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
  16. Tanzania ya mitandaoni

    *1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.* *3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
  17. Cctv camera installation Arusha

    CCTV INSTALLATION We are dealing with; ✴CCTV Camera Installation and Repair ✴LAN Installation ✴Computer Service & Repair ✴Electrical Fence Installation Also we can connect CCTV camera directly to your mobile phone. ️ Contract us : 📶0716128815 (Call & WhatsApp 24/7) Location: Arusha
  18. Shirika la Afya Duniani (WHO): Tanzania hakuna Ebola

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Kitengo cha Kupambana na Magonjwa kutoka Marekani (CDC), wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna mlipuko wa ugonjwa wa ebola. Uthibitisho huo umekuja baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kuruhusu kuchukua...
  19. WHO investigating possible unknown illness in Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli. Kwanini hili Swala linafanywa siri? ======= Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We...
  20. WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL". Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…