• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

elivina shambuni

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
462
Points
500
elivina shambuni

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
462 500
2190443_1571754411905.png

KAMA unatumia mtungi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako, basi fahamu kwamba mtungi huo umeundwa nje ya nchi. Lakini muda si mrefu, mitungi ya aina hiyo itaanza kutengenezwa Tanzania na gharama zake zinatarajiwa kuwa nafuu kuliko ilivyo sasa.

Akizungumza katika Maonesho ya Viwanda Mkoani Pwani, Meneja Masoko wa kampuni ya Lake Gas ambayo ni kampuni tanzu ya Lake Group, Ramadhani Siasa alisema kampuni yao inatarajia kuanza uzalishaji wa mitungi ya gesi mwezi Desemba mwaka huu. “Kwa sasa mitungi ya gesi za majumbani zinazotumiwa na makampuni mbalimbali inatoka nje.

Sisi tutaanza uzalishaji na hayo makampuni yatakuja kununua kwetu na kupaka rangi zao,” alisema Siasa. Maonesho ya Viwanda mkoani Pwani yaliyofunguliwa Oktoba 17 na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, yanatarajiwa kufungwa kesho na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda. Watu wanaotembelea maonesho haya wamekuwa wakijionea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na viwanda mkoani Pwani na kupata nafasi ya kujinunulia baadhi ya bidhaa hizo kwa bei rahisi.

Chanzo: Habarileo
 
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
4,054
Points
2,000
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
4,054 2,000
Nina kuambia utakuja niambia kama kutakuja kuwa na unafuu wowote ule, hiyo Cement ya dangote tuliaminishwa nini wakati kiwanda kinajengwa?? Yaani wanasiasa baada ya shetani kuchomwa moto, watafuata wao!! Waliwaaminisha watu eti mkoa wa mtwara mfuko utakuwa shilingi 4000!!!,inshu sio bidhaa inatengenezwa wapi, tatizo la tz ni gharama kubwa za uzarishaji bidhaaa pamoja na kodi kubwa!!!! Ndio zinapandisha bei!!! Vitu vingapi vinatoka Pakistan, brazil vinakuwa na bei ndogo kuliko kitu kinachozalishwa vingunguti?!! Halafu mwanasiasa anakwambia tupende vya kwetu!!!! Ndio uzalendo, kwa mtu masikini hata tofauti ya tsh,,500 ni kubwa mno kwake!!!
 
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,382
Points
2,000
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,382 2,000
Nina kuambia utakuja niambia kama kutakuja kuwa na unafuu wowote ule, hiyo Cement ya dangote tuliaminishwa nini wakati kiwanda kinajengwa?? Yaani wanasiasa baada ya shetani kuchomwa moto, watafuata wao!! Waliwaaminisha watu eti mkoa wa mtwara mfuko utakuwa shilingi 4000!!!,inshu sio bidhaa inatengenezwa wapi, tatizo la tz ni gharama kubwa za uzarishaji bidhaaa pamoja na kodi kubwa!!!! Ndio zinapandisha bei!!! Vitu vingapi vinatoka Pakistan, brazil vinakuwa na bei ndogo kuliko kitu kinachozalishwa vingunguti?!! Halafu mwanasiasa anakwambia tupende vya kwetu!!!! Ndio uzalendo, kwa mtu masikini hata tofauti ya tsh,,500 ni kubwa mno kwake!!!
Jiwe anapenda kula pakubwa
 
M

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
352
Points
500
M

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
352 500
Hiyo mitungi itachomelewa na wachoma welding halafu gesi lazima ivuje...kinachofuata mnakifahamu
 
Mr Misifa

Mr Misifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Messages
264
Points
500
Mr Misifa

Mr Misifa

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2019
264 500
Hongereni sana kwa hatua hiyo mzuri
 
M

Mtolewa14

Member
Joined
Oct 19, 2019
Messages
7
Points
20
M

Mtolewa14

Member
Joined Oct 19, 2019
7 20
Jaman jaman wabongo .... tuanaomba muache hiyo biashara mtatuuwa♀♀
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
10,358
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
10,358 2,000
Zinaweza zikaindwa tanzania na gharama zijwa juu. Ni kma cement inayotengnezwa tz bei juu kuliko inayotoka nje.
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
16,391
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
16,391 2,000
Hiyo mitungi itachomelewa na wachoma welding halafu gesi lazima ivuje...kinachofuata mnakifahamu
Mitungi lazima ifanyike robotic TIG/MIG welding ili ilipe. Testing yake lazima pia ifanyike ili kujua kama itafanya kazi kwa ubora na bila shida, especially pressure test.
Ila wawekezaji wenye uthubutu kama huyo sio wakubezwa. Some of those things can be done. Knowledge yake sio kitu cha ajabu sana
 
Forum statistics

Threads 1,405,606
Members 532,052
Posts 34,490,437
Top