Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come.
Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday.
More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.
Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa...
Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya.
Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel
Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe.
Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
Ukitaka kuwafurahisha wajinga, wape habari nzuri kuhusu habari mbaya, hata kama si ukweli na baada ya kuwarubuni wakuamini wewe tu. Je, ni kweli maambukizi ya corona yamepungua Tanzania?
Na Peter Mwai na Christopher GilesBBC Reality Check
Ibada ikiendelea kanisani Tanzania - waumini wakiwa...
Job Title: Project Officer – Community Health Promotion and Gender
Job Reports to: Chief of Pedagogical Department
Duty Station: Dodoma National Office, with frequent activities in the villages
Education: Minimum Diploma in community health promotion and or related health fields
Experience: 3...
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini...
Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo.
Hivi hawa Watoto...
Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.
Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru...
Je, Tanzania haina wasiwasi / hofu na CORONA kama nchi zingine hivyo imeamua kufanya yafuatayo...?
A. Kutokuweka Mkazo wowote wa Curfew ( Lock down ) ili Waathirike wengi Uchaguzi usifanyike 2020
B. Kuruhusu Kundi la Waelewa na Wanaohoji Mitandaoni Form Six na Vyuo warudi ili wazingatie Elimu...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua.
Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo...
Kwa kadiri siku zinavyosogea, tutashuhudia mengi kuhusu namna viongozi wetu wanavyoshughulikia Corona.
Mimi nielekee eneo la uchumi unaotokana na mahusiano au ushirikiano na mataifa mengine.
Tuanzie na utalii ambao nao unachangia fedha nyingi za kigeni na ajira kwa Watanzania.
Watalii wa nje...
Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja...
Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya.
Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.