U
Reaction score
11

Profile posts Latest activity Postings About

  • TAARIFA:
    Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyo ambatana na upepo katika kijiji cha mwakata,kata ya mwakata wilaya ya kahama yamesababisha madhara makubwa ikiwa ni pamoja na watu kadhaa kufariki ina kadiriwa zaidi ya watu 40 wamefariki, idadi kubwa ya nyumba zimeharibiwa na mifugo na mazao vyote vimeharibiwa vibaya sana.

    wakazi wa kijiji hichi wanahitaji msaada wa hali na mali, kama watanzania hili kwetu ni kama janga lililowakuta ndugu zetu, kwa kauwezo kadogo uliko nako unaweza wafikishia walengwa. Hata kwa maombi tu baraka zako zitawafikia wahanga tu.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top