Tanzania supports China on Hong Kong crisis, blames Western media

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
1571828490823.png

Dar es Salaam. The Tanzanian government said on Wednesday October 23 that it supports China’s position in the Asian country’s ongoing dispute with Hong Kong.

Justice and Constitutional Affairs minister Augustine Mahiga said this during a dinner hosted by the Chinese embassy to commemorate five years of the Asian-African Legal Consultative Organization (AALCO).

Dr Mahiga who doubles as the sitting president of AALCO claimed that the dispute between China and Hong Kong was being fueled by international media, especially during rallies staged in Hong Kong.

He said those who were present in 1997 when China took control of Hong Kong from the United Kingdom are trying to make changes, noting that however, they are using force, leading to unrest in Hong Kong.

"We express our support to the Chinese government on its ‘one politics, two systems’ that was enacted due to higher levels of innovation. The system is properly working until today. The spirit should be upheld and commits a continued support,” he said.

He said Tanzania will maintain its relationship with China, in remembrance of the country’s significant role it played in 1964 in the establishment of the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) due to rebellion of the Kings African Riffles (KAR).
Advertisement

In consolidating the relations, Dr Mahiga said Tanzania supported China in securing membership in the United Nations Security Council in the 1970s.

Speaking during the event, the Chinese ambassador to Tanzania, Ms Wang KE said turmoil in Hong Kong started after amendment of the Criminal Act, something that was opposed by conservatives in the country who in turn imposed threats to rule of law and security of the people.

"Some foreign politicians have been neglecting the ongoing commotions led by radical people and point accusing finger to Hong Kong government on the right decisions taken aboard,” she said.

By Peter Elias and Louis Kolumbia @TheCitizenTZ

Another hypocrisy. The Tanganyikans have made the spice-rich island of Zanzibar their colony. Nobody will ever take them seriously on such issues as the Hong Kong crisis.
 
Sisi Vijana wa Hong Kong lazıma tuendeleze mapambano ya kujitoa kwenye minyororo ya Mchina. Nyie Watanzania endeleeni kuikalia kimabavu Zanzibar.
 
Huu ndo ujinga sasa ambao siupendi. Hajaambiwa atoe comment anajiingiza kwenye mgogoro usiomuhusu.
Sasa watanzania wanaoenda Hong Kong mara kwa mara watakiona cha moto kisa upuuzi wa mtu moja. Si vyema ku-comment kwenye mambo yasiyo na faida yoyote ile, sisi kujifanya tuna-side na China kwenye hili linatusaidia nini hasa?
Mwisho wa siku tutaanza kuzuiwa kuingia HongKong bila visa.
 
Huku wanapotupeleka wanapajua wenyewe. Kuyafuta nankurekebisha matatizo wanayoyaibua kila siku itachukua miaka. Tayari tumeonesha kufungamana na upande fulani ijapokuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zisizofungamana na upande wowote.
Ni official declaration kuwa tunafungamana na baadhi ya nchi !? who knows.
Politicians
IMG_20191021_164407.jpeg
 
Huu ndo ujinga sasa ambao siupendi. Hajaambiwa atoe comment anajiingiza kwenye mgogoro usiomuhusu.
Sasa watanzania wanaoenda Hong Kong mara kwa mara watakiona cha moto kisa upuuzi wa mtu moja. Si vyema ku-comment kwenye mambo yasiyo na faida yoyote ile, sisi kujifanya tuna-side na China kwenye hili linatusaidia nini hasa?
Mwisho wa siku tutaanza kuzuiwa kuingia HongKong bila visa.
Regina IP mbunge wa Hong kong analalamika kuwa kuna uchochezi wa nje wewe mswahili ndo unajifanya kujua zaidi ya wa Hong Kong wenyewe?
 
Hongkong ipo under CHINA Usitegemeee hilo suala la visa/viza kutokea hvyo MKUU
 
Regina IP mbunge wa Hong kong analalamika kuwa kuna uchochezi wa nje wewe mswahili ndo unajifanya kujua zaidi ya wa Hong Kong wenyewe?

Nimeishi hong kong zaidi ya miezi 6, najua hongkongers wengi wanachotaka ni kipi, hata kwenye hizi protest za mwaka huu nilikuwepo first hand nikashuhudia walichokua wanaprotest ni nini, hongkongers hawaipendi China its obvious, huyo mbunge wako anaongea nini? Swala la hongkong ni very complicated, si swala la sisi kujiingiza huku hatujaitwa, tunajifanya kuside na upande moja huku hatujaombwa na yeyote, we ugomvi si wako unaingilia kwa sababu ipi? Hakuna faida yoyote zaidi ni hasara tu coz upande wa pili utakuchukia. Tatizo unarukia mambo ambayo hujui, sio kila kitu ni black and white, tumia akiili usiache kichwa chako kikae bure tu kinatumia oxygen.
 
Bingwa, utakuwa unapenda sana OOP wewe.
Nimeishi hong kong zaidi ya miezi 6, najua hongkongers wengi wanachotaka ni kipi, hata kwenye hizi protest za mwaka huu nilikuwepo first hand nikashuhudia walichokua wanaprotest ni nini, hongkongers hawaipendi China its obvious, huyo mbunge wako anaongea nini?
Hivi wewe ndugu yetu uliyekaa Hong Kong unajua jamaa wa alphabet wanavyofanya kazi? Footprint ziko wazi kabisa, na kwa kutumia concept uipendayo ya OOP tunaweza kusema "method" inayotumika ni kama ile ya Arab spring.
Swala la hongkong ni very complicated, si swala la sisi kujiingiza huku hatujaitwa, tunajifanya kuside na upande moja huku hatujaombwa na yeyote, we ugomvi si wako unaingilia kwa sababu ipi? Hakuna faida yoyote zaidi ni hasara tu coz upande wa pili utakuchukia. Tatizo unarukia mambo ambayo hujui, sio kila kitu ni black and white, tumia akiili usiache kichwa chako kikae bure tu kinatumia oxygen.
Ni upande gani huo unaouongelea, kwani Hong Kong wanakiti umoja wa mataifa?
 
Huyo mbunge ndo hapiti HK tena maana anatumiwa na wachina kuwakandamiza Hong Kong.Yeye alitakiwa aside na wengi au kama vipi ajiuzulu.
Sijui walimpendea nini huyo mama ngoja niangalie profile ya yule GavanA
Regina IP mbunge wa Hong kong analalamika kuwa kuna uchochezi wa nje wewe mswahili ndo unajifanya kujua zaidi ya wa Hong Kong wenyewe?
 
Huyo mbunge ndo hapiti HK tena maana anatumiwa na wachina kuwakandamiza Hong Kong.Yeye alitakiwa aside na wengi au kama vipi ajiuzulu.
Sijui walimpendea nini huyo mama ngoja niangalie profile ya yule GavanA
Wahong kong wengi gani hao unaoongelea? Hao Waingereza na BBC yao ndiyo chanzo cha hiyo propaganda lakini mbona wao wanaendelea kuwabana Wa-scottish.
 
Kwa hiyo unalipiza kwa kuwa Uingereza inaikalia scotland,kwa hiyo Tanzania imesapoti china kwa kuwa nayo inaikalia Zanzibar kimabavu?

Hapana, nilikuwa na kuonesha unafiki uliopo.

Suala la Hong Kong ni la geopolitical zaidi, kumbuka baada ya 2047 Hong kong itarudi kuwa chini ya China 100%. Sasa hiyo ni miaka 22 tuu, na ndiyo sababu kuu ya hizo choko choko.

Mwaka 2047 China ndiyo itakuwa beberu mwitu duniani, na ukiangalia jiografia ya china utaona imezungukwa na nchi marafiki. Hivyo kama wataweza kuirubuni Hong Kong watapata njia rahisi ya kuisumbua China hapo baadae.

Uwezo na utajiri wa waingereza ulitokana na makoloni, baada ya kupoteza makoloni yao nchi hiyo ilipoteza nguvu yao ushawishi dunia. Koloni lao la mwisho (lenye pesa) lilikuwa hilo la Hong Kong, sasa baada ya kurudishwa China (mwaka '97 kutokana na makataba kuisha) waingereza wameanza uhooligan wao, kiaina.
 
Back
Top Bottom