Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Taarifa kutoka Kenya zinadokeza kwamba Uhuru kamtosa William Ruto mbio za urais 2020. Ruto inasemekana sababu kubwa iliyofanya atoswe ni kushiriki mauaji ya watu mwaka 2007 baada ya kaamasisha umma kuwashambulia watu jamii ya kikuyu pia alitoa ushauri wa kutekwa na kakatwa kiganja kwa afsa wa...
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine...
Madereva wa magari zaidi ya 50 wa Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya katika mpaka wa Namanga hadi hapo watakapopimwa kujua kama wana maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa zaidi inafuata.....
Hakuna ubishi kwamba kilimo ndo kimekuwa nguzo kuu ya uchumi wa Tanzania, ambapo kilimo kinachangia 24.5% kwenye GDP.
Kilimo kinachangia asilimia 85 kwenye total export, na pia nusu ya waajiriwa wote wanatokea kwenye sekta ya kilimo, kwa mujibu wa data zilizopo mitandaoni. Lakini kwenye uchumi...
Habari wakuu!
Kwa umri wangu mdogo wa miaka takribani 30 nimejifunza mengi, sijabahatika kuvuka mipaka ya Tanzania lakini nimefika karibu mikoa 20 ya Tanzania bara.
Hulka na silka za Watanzania zinafanana.
Kwa uelewa wangu wa mambo ya kisiasa niliojifunza mitaani na mitandaoni nimehitimisha...
Moja kwa moja kwenye mada.
Ni kwa maslahi ya taifa hili na kwetu sote kuona kuwa covid-19 inadhibitiwa au hata kuuondoshwa kabisa nchini.
Huu ugonjwa ni hatari na kwa bahati mbaya zaidi, hauwezi kuondoka wenyewe pasipo na jitihada za kutosha kutoka kwetu na hasa serikali.
Duniani kote hata...
COVID-19 has clearly affected people’s lives worldwide. The most disruptions are being caused by factory-closures, total lockdown, border closures, and other strict measures that have resulted in a lack of essential goods and services, raw materials for industries, parts, and components...
Humu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu.
Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu
MASHAIRI
Rostam - Kaka Tuchati Lyrics | Afrika Lyrics
(Tongwe Records)
Oooii naona mtandao unakatika
Upo kimya sana mkato au kunde imevunjika
Na mtanyooka roundi hii
Na hivi huwezi...
Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi
“Chupa tumepewa mbili tu (control)...
May 8, 2020
Antananarivo, Madagascar
Video Source : millard ayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mh. Prof. Palamagamba Kabudi amepiga kuwa serikali ya Tanzania imeamua kujibagua, kujitenga na kulegalega katika kupambana na gonjwa la Covid-19.
Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio...
Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.
Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
UPDATES
Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.
Habari wakuu
Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
About us
Bharti Airtel Limited is a leading global telecommunications company with operations in 20 countries across Asia and Africa. Headquartered in New Delhi, India, the company ranks amongst the top 3 mobile service providers globally in terms of subscribers. In India, the company's product...
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda.
Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona.
Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491.
======
The IMF...
Ninaendelea kuiboresha pole pole kadri nipatapo muda, lakini hoja itahusu yafuatayo :
1. Mtazamo wa jamii kuhusiana na wafanyabiashara sector binafsi.
2. Mfumo wa uchumi kwa ujumla kuhusiana na secta binafsi.
3. Mtazamo wa wanasiasa na serikali kuhusiana na Biashara na secta yote.
4...
Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
Kama kuna mdau/Mzabuni anatakaa kutoa huduma mbalimbali Serikalini za (Vifaa vya Ujenzi, Stationary, Vinywaji, vyakula, vipuli vya Magari, Mifumo ya IT, n.k) kila mkoa-Tanzania kwa mwaka 2020/2021 ( *Tambua-bila kusajiliwa hutatoa huduma serikalini*)
Kazi zimetangazwa na GPSA kupitia Mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.