johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,715
- 141,579
Mosi, hakuna Tume huru ya uchaguzi
Pili, uchaguzi wa madiwani unasimamiwa na makada wa CCM
Tatu, matumizi ya ruzuku kwa vyama vya upinzani hayaeleweki
Nne, vyama vya upinzani havifanyi uchaguzi wa viongozi wao mfano Wenyeviti ni kama wa kudumu.
Tano, ukiwa mbunge ni lazima kuchangia fedha za kuendesha chama hata kama chama hicho kinapokea ruzuku ya zaidi ya sh milioni 300 kila mwezi na kimepanga kota moja tu ya NHC ya vyumba vinne.
Kiukweli kuwa mpinzani hapa bongo ni lazima ujitoe ufahamu vinginevyo unaweza kufa kihoro.
Wednesday njema,
Maendeleo hayana vyama!