Mining and oil and gas reforms, a comparison between Kenya and Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,203
79,433
Since many Kenyans are mocking the gains to the Government of Tanzania from the agreement between government and Barrick Gold, it's time to see how Kenya fairs in relation to Tanzania.

Capture.PNG

Capture.PNG

Capture.PNG

Munyes: Sh300bn Turkana oil deal to remain secret
Poor left out of mining profits as 'resource curse' hits Kenya
Africa’s oil may have to stay in the ground to protect the climate | The Africa Report.com
 
Mashamba tu yamewashinda itakua migodi. Vijana kumiliki ardhi Nairobi ni ndoto za alinacha. Ardhi yenye rutuba inawanufaisha wachache wanaolima mazao ya biashara (maua ya kuwapelekea wazungu) wengi wana kwama kwenye njaa na ufukara. Hiki kilicho fanywa na Magufuli, Uhuru ata apewe awamu 5 hawezi fanya.
 
What are you trying to establish brother?

Kenya & Tanzania havifanani hata kidogo kwa sababu Kenya tayari wameingia katika uchumi wa kati wakati Tanzania ndiyo bado mnajitutumua mfike tulipo. So where do you get that audacity to compapare Kenya/ kenyans with your low-income country?

Kenya ina malighafi chache ila inaongozwa na watu wenye akili that's why Kenya is the giant one ecomonically, politically & socially.
 
Teargass hawa ndio watu unaowaita wavivu, sijui Kenya kama mnayo dhahabu ila kilo 500 za dhahabu kwa mwezi kutoka kwa wachimbaji wadogo sio kazi sawa na mlizozioea hapo Kenya.

Kilo moja ya dhahabu ni million 100 sawa na 43,417.59 United States Dollar

Zidisha mara 500 halafu niambie hawa watu wanakuaje wavivu.
 
Teargass hawa ndio watu unaowaita wavivu, sijui Kenya kama mnayo dhahabu ila kilo 500 za dhahabu kwa mwezi kutoka kwa wachimbaji wadogo sio kazi sawa na mlizozioea hapo Kenya

Kilo moja ya dhahabu ni million 100
Sawa na 43,417.59 United States Dollar

Zidisha mara 500 halafu niambie hawa watu wanakuaje wavivu
Sasa mnafaidikaje na hayo madhahabu?

Mbona bado mpo katika umasikini wa kutupwa?
 
You don't have any audacity at all to compare KENYA TOTanzania.Tanzania is one of the poorest countries in the world only comparable to the likes of Haiti
Tanzania ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi, weka hilo kichwani.
 
Umasikini upi unaongelea hapa? Sababu zipo aina nyingi za umasikini, Tanzania ni nchi ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi mkubwa maana yake tumezipita nchi zaidi ya 48 kiuchumi Africa
Umasikini ipi waijua?
 
Umasikini upi unaongelea hapa? Sababu zipo aina nyingi za umasikini, Tanzania ni nchi ya 8 au 9 katika nchi 55 Africa kwa uchumi mkubwa maana yake tumezipita nchi zaidi ya 48 kiuchumi Africa
In all aspect of life i.e Socially, politically, & Economically

Nchi ya 8 au 9 kwa umasikini au? Kaangalie vizuri Mkuu. Halafu uje na proof hapa na siyo kuleta maneno mtupu hapa.

We can't be moved by mere allegations.
 
Geza Ulole,

Mkuu dhahabu kilo 500 kwenye mkoa mmoja tu wa Geita ni utajiri mkubwa sana. Ningependa kujua uzalishaji kwenye mikoa mingine inayochimba dhahabu ili nifanye utafiti mdogo mkuu.
 
Don't be surprised if we shoot to 75B GDP after this Barrick and Tanzania = TWIGA minerals cooperation starts official duties.
BTW Kuna around 2 gold smelting plants r about to be established one in Dodoma and another in Geita. Aside gold another minerals will be refined so even what is to produced by Barrick gold will be refined here! I see billions of dollars from smelters plants!
 
Back
Top Bottom