Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,160
9,359
Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!
Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua!
.... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
 
Azam kaumizwa na offside tatu zote hewa ili muhanga wa UD Songo ashinde.
Subirini kipyenga cha mwisho mje mpate ukweli. Bingwa keshaandaliwa kitambo
 
Ila simba msimu huu ni ya kawaida sana kulinganisha na msimu uliopita. Ni mtazamo tu.
 
Azam kaumizwa na offside tatu zote hewa ili muhanga wa UD Songo ashinde.
Subirini kipyenga cha mwisho mje mpate ukweli. Bingwa keshaandaliwa kitambo
Yule kibendera kama wapo serious kweli lazima asimamishwe,yaani yule siyo kahongwa ila hujui kabisa
 
Zile penalties mbili refa ameng'ata filimbi hujaona?

Mzamiru na ajibu
Hakuna penalties yoyote kati ya hao labda kama ulisahau kuvaa miwani yako wakati wa kuangalia mpira,Mzamiru kadrive mpira baada ya kuchoka kaanguka,ya ajibu haihitaji hata kujua penati inatokaje
 
Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!
Leo wanaume wanacheza ...wengine make pembeni muone burudani murua!
.... atakaye fanya kosa ndiye atakaye lia!
Leo zimecheza timu zilizo ondolewa round ya Kwanza kwenye mashindano ya Caf , a.k.a vibonde, wamchangani.
 
Back
Top Bottom