Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Hizi bifu na Kenya sasa naona kama ni utoto na nashangaa inafikia hata viongozi wetu wa ngazi ya mkoa wanahemuka na maamuzi bila kufikiria kumaliza mambo kidiplomasia. Hawa viongozi wanadhani wanamfurahisha Magufuli lakini ukweli ni kwamba wanamdhalilsha Magufuli na Tanzania kwa ujumla.
Ona...
Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli.
Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana,
Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani.
Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona.
Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI
Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani.
Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni...
Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili
17 Mei 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili.
Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Kuna baadhi ya wadau walifikia hatua ya kusema tuweke pazia kubwa mlima Kilimanjaro kama la dirisha ili kuzuia usionekane bali tu kwa kutokea upande wa Tanzania, ila hicho kitakua kituko.
Sasa tutafakari, kama ni ndege kubwa za kuketa watalii kwa direct flights tumeshanunua, kama ni kiwanja...
Ndugu zangu,
Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama Kambona angelipewa nafasi ya juu. Nchi yetu ingekuwa na picha gani?
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Dear Mr. President,
First of all I would like to thank the god for the life he has given us.
Allow me to congratulate you personally and on behalf of the citizens from Tanga Region and Tanzanian as whole on your...
Kabla ya yote naomba kukiri kwamba mimi na makampuni yangu tumeshiriki maonesho ya kibiashara ya kimataifa kwa zaidi ya miaka 10 , tukijikita zaidi kwenye local products kwa ajili ya export ( yaani bidhaa za kitanzania za kuuza nje ya nchi ), 90 % ya bidhaa zetu tunauza Ulaya na Marekani...
Leo tarehe 10/05/2020 Rais wa Zambia Edgar Chagwa lungu ametoa amri ya kufunga mpaka wa Zambia na Tanzania (Nakonde) na kupiga marufuku mtu yeyote pamoja na magari au treni kuingia na kutoka Mji wa nakonde.
Mji wa nakonde umepakana na mji wa tunduma ambapo ndo mpaka wa Tanzania na zambia ulipo...
There is a country which is known as " Little Tanzania Republic"
To Tanzania, this country is like what Toto Africans Football Club is to Dar Es Salaam Young Africans".
They love us so much. To them we are what the Europeans are to us.
Ukienda kwenye mji mkuu wao ni kama upo Kariakoo.
Hata...
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.
Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.