tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani Sumu hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  3. JamiiForums Tanzania Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

    Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea...
  4. JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  5. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ukisema kuwa Tanzania haikushinda corona phase one, utakuwa muongo; huna shukrani kwa Mungu

    Nimeona watu wakilaumu wakituna na wengine kudhihaki kwamba serikali haijawa serious huhusu Corona. Sisi tunaojua maana ya outbreak tunajua kwamba kwanzia mwezi wa 7 mpaka 12 hakuwa na Visa vya Corona. Wengine sisi ni watoa huduma za afya ni mashahidi kabisa kwamba Corona iliisha. Mungu...
  7. JamiiForums Tanzania New Job At Good Neighbors Tanzania, March 2021- Project Officer VSLA

    JOB TITLE: Project Officer VSLA Reports to: Senior Project Officer Location: Kasulu Kigoma Contract Duration: 10 months Good Neighbors Tanzania - Kigoma Office is looking for a suitable candidate for the mentioned post, who will be responsible for all Voluntary and Saving Loans...
  8. JamiiForums Tanzania Hii tweet ya World Bank Tanzania unaweza fikiri kuwa ni fake

    Huu ni uthibitisho wa wazi kabisa kuwa huwa tunadanganywa mengi na viongozi wetu wakiwa kwenye MIC!🚶🚶🚶
  9. JamiiForums Tanzania Account receivable officer - Tanzania

    Nimekutana nayo sehemu ACCOUNTS RECEIVABLE OFFICER - DAR ES SALAAM, TANZANIA HR World limited on behalf of our reputable client, we are looking for Accounts Receivable Officer RESPONSIBILITIES: 1. Follow up on, collect and allocate payments. 2. Carry out billing, collection and reporting...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania: Benki ya Dunia yapendekeza mfumo wa ncha 3 kupambana na COVID-19 na Mporomoko wa Uchumi

    Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube: Facebook: Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ilipofikia katika nyanja za uongozi

    Kidogokidogo tutafika katika nchi ya ahadi. Ni suala la muda tu, angalia video hadi mwisho tafadhali.
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University of Tanzania

    Hello Habarini za wanajamii forum? Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie maana kwa sasa mimi ni muajiriwa na nahitaji kusoma hii degree! Pia Advance nilisoma EGM na...
  13. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu asili za viongozi wetu una tija kwa Tanzania ijayo?

    Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani. Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule...
  15. JamiiForums Tanzania Picha:Marais kadhaa wa Tanzania wakiwa wametembelewa na marais wa kimataifa

    Kwa kuangalia hizi picha,umejifunza au umegundua kitu gani?
  16. JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  17. JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

    Habari za leo wakuu, Kwenu wanaume wote Tanzania, Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo whatsap 0766945239 Ada ya kitambulisho Ni 500 tu.
  19. JamiiForums Tanzania Uganda - Tanzania oil pipeline

    Tanzania ready to start constructing Ug-Tz oil pipeline (independent.co.ug) Dar es Salaam, Tanzania | THE INDEPENDENT) | The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) is scheduled to start next month, Tanzanian newspaper The Citizen has reported today...
  20. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…