chuchunge
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 212
- 154
Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina tofauti ya organizations na wamefanya utapeli sana Kenya sasa naona wameingia Tanzania.
As mtu unakua desperate kutafuta kazi ni rahisi sana kudanganyika. Angalia email waliyonitumia kwa umakini.Naomba sana Zoom Tanzania waweze kuscreen watu wanaopost ili kuepusha watu wengi kutapeliwa.
As mtu unakua desperate kutafuta kazi ni rahisi sana kudanganyika. Angalia email waliyonitumia kwa umakini.Naomba sana Zoom Tanzania waweze kuscreen watu wanaopost ili kuepusha watu wengi kutapeliwa.