Mjadala kuhusu asili za viongozi wetu una tija kwa Tanzania ijayo?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
328
1,000
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.

Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule? Kiongozi mwandamizi akiwa na mwenza mwenye nasaba na nje ya Tanzania ina athari kwa Taifa? Kwanini watu wanaotiliwa mashaka ya asili zao na uzalendo kwa Taifa inaongezeka kwa kasi?

Je, hakuna mapandikizi wasiojua kwamba wao ni mapandikizi? Dola natumai mmenielewa vizuri zaidi, nadhani fanyeni analysis ya hiki kinachotokea leo kwenye uhai wa Tanzania mwaka 2035. Kumbukeni hata yule Mkuu wa Mkoa pasipo kujua aliwahi kusababisha ndugu wa wakwe wapate huruma wasiyostahili. Tupo salama?
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,284
2,000
Hili jambo kama linagusa hisia za wengi. Kuna matukio yanabadili sura au approach za Kitz tulizolelewa nazo! Mfano ajira na Mishahara.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,906
2,000
Hata hili la kubadilisha Majina ya Maeneo Maarufu sio utamadini wa ki Tanzania.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
102,079
2,000
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.

Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule? Kiongozi mwandamizi akiwa na mwenza mwenye nasaba na nje ya Tanzania ina athari kwa Taifa? Kwanini watu wanaotiliwa mashaka ya asili zao na uzalendo kwa Taifa inaongezeka kwa kasi?

Je, hakuna mapandikizi wasiojua kwamba wao ni mapandikizi? Dola natumai mmenielewa vizuri zaidi, nadhani fanyeni analysis ya hiki kinachotokea leo kwenye uhai wa Tanzania mwaka 2035. Kumbukeni hata yule Mkuu wa Mkoa pasipo kujua aliwahi kusababisha ndugu wa wakwe wapate huruma wasiyostahili. Tupo salama?
Ukiwa hapa jf hutakiwi kufumbafumba sana,mtaje mtu ili tumjadili inavyo stahili.
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,834
2,000
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.

Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule? Kiongozi mwandamizi akiwa na mwenza mwenye nasaba na nje ya Tanzania ina athari kwa Taifa? Kwanini watu wanaotiliwa mashaka ya asili zao na uzalendo kwa Taifa inaongezeka kwa kasi?

Je, hakuna mapandikizi wasiojua kwamba wao ni mapandikizi? Dola natumai mmenielewa vizuri zaidi, nadhani fanyeni analysis ya hiki kinachotokea leo kwenye uhai wa Tanzania mwaka 2035. Kumbukeni hata yule Mkuu wa Mkoa pasipo kujua aliwahi kusababisha ndugu wa wakwe wapate huruma wasiyostahili. Tupo salama?
unataka kuficha nini... au huyo mrundi wako ndo hutaki iulikane.. shwain kweli wewe

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,432
2,000
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.

Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule? Kiongozi mwandamizi akiwa na mwenza mwenye nasaba na nje ya Tanzania ina athari kwa Taifa? Kwanini watu wanaotiliwa mashaka ya asili zao na uzalendo kwa Taifa inaongezeka kwa kasi?

Je, hakuna mapandikizi wasiojua kwamba wao ni mapandikizi? Dola natumai mmenielewa vizuri zaidi, nadhani fanyeni analysis ya hiki kinachotokea leo kwenye uhai wa Tanzania mwaka 2035. Kumbukeni hata yule Mkuu wa Mkoa pasipo kujua aliwahi kusababisha ndugu wa wakwe wapate huruma wasiyostahili. Tupo salama?
Sasa tuchague viongozi wanaotufikisha safari yetu bila kuangalia ni kabila gani na anatoka wapi. Mkenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom