Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,795
Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.

Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.

Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
 
Napendekeza bandari na mipaka yoote isiruhusiwe kuimport chochote maana sisi ni matajiri na tunajitosheleza sana.
IMG-20210111-WA0024.jpg

Bandari na mipaka vibaki kwa ajili ya exportation tuu.

IMG_20210225_194620.jpg
 
Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini ,pikipiki mpaka baiskeli.

Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.

Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao , hasa Tanzania . Tumechangia nini
katika kwa maendeleo haya ya Dunia?

Mambo mengine wawe wanakwenda kuwaambia jamaa zao huko chatto.

Eti vita. Mongolia ajipambanie na Corona inayo msakama jiwe adai hiyo ni vita dhidi yake?

Nyambafu!
 
Soko.
Sisi ni soko.
Yani Afrika ni soko dogo sana linapokuja suala la bidhaa kutoka nje, na ndiyo maana hata nchi nyingi za afrika zina CPC ndogo sana kwakuwa wanajua hamnunui bidhaa probability ya kununua ni ndogo.

We fikiria bidhaa za mchina zilizojazana kariakoo lakini bado hata top 15 ya wanunuaji wa bidhaa toka china hatumo. Yani bidhaa anazonunua marekani toka china ni mara zaidi ya 3 ya afrika.

Labda useme sisi ni source ya raw materials ambazo nazo hatukuzitengeneza tulizikuta na hata kuzichimba mpaka waje wachimbe wao.
 
Sisi tumengundua dawa ya corona mafukizonaization baada ya mabeberu kugonga mwamba
 
Sisi tumengundua dawa ya corona mafukizonaization baada ya mabeberu kugonga mwamba
 
Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.

Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.

Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
Makampuni ya mabeberu huwa yanafuata nini Afrika? Ukishajua, ndio utajua tuna mchango gani
 
Kuna barakoa zengine sio nzuri.
Tujitengenezee barakoa zetu.
 
Back
Top Bottom