Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
 
Jibu la Kizushi: Nakusaidia kushangaa, mimi nilisoma HGL, nikajiunga kusoma MD, nipo mwaka wa 8 sasa. Imebaki kidogo tu nimalizie kadigirii kangu.

Kumbuka: Walioiandaa hiyo michepuo walikuwa na maana yao kumsaidia mhusika
 
Sikujua unalenga nini!

Swali lako pia lingeuliza kwa nini Physics imekua takwa la kusoma Kozi ya Afya.
Kipindi tuko mwala wa pili tuliwahi hoji hilo swali na hauwezi amini majibu tulopewa.

Lecturer mmoja alitwambia kama uliweza ku Withstand waves za Physics basi utaweza Withstand Waves za Medical school.

Ki ukweli tuliuliza hivi baada ya kuona applicability yake mpaka huo mwaka wa pili ni kama tulikua hatujauona na ukizingatia Physics ya High school iko heavy duty hata Fundamentals za Physics ya Olevel zilikua zinatoshea kabisa.
Kama niliwahi ona application ya Physics nafikiri ni kwenye somo la Radiology(Xrays, Ultrasound, MRI e.t.c) na hii inasomwa kwa week moja na kwa kweli sio lwamba mnaenda lwenye details za hizo machine na technolojia yake bali mnajikita katika kutafsiri picha.

Hopefully kuna application yake ambayo mimi sikuiwai kuiona kiasi cha kulifanya hilo somo kuwa mandatory.

Sijui course nyingine za afya kama Nursing na Laboratory science applicability yake huko hata kama ipo ila nisomo la lazima.

Kwa Upande wa Chemistry na Biology kwa kweli, hapa ndo msingi ulipo.
Mwaka wa Kwanza mpaka wa pili MD1 na MD2 miaka hii yote mnakua mmejilita katika Basic Sciences(Physiology, Anatomy, Biochemistry, Microbiology and Immunology e.t.c)

Ki ukweli hizo basics sciences kama hauna foundation nzuri ya Chemistry na Biology hauwezi kuzidi 2nd year. Binafsi somo kama Physiology kutokana kuwa na foundation nzuri ya Biology nilijikuta mechanism nyingi za mwili nazijua na nilikua naongeza maarifa ambayo yako related zaidi kwa magonjwa ya binadamu, though kuna advanced concepts pia ambazo sikuwai hata kuzisoma kwenye Biology

So to say applicability ya chemistry na Biology inahold sana katika masomo machache sana pia na kuyafanya yawe na weight ya not more than 5%.
Hapa naongelea directly involving in A level concepts
Ila wengine wangesema kwa sababu ndio foundation wangeipa % kubwa.

All in all Basic Sciences are the Good foundations of Medicine kinachoendelea mwaka wa tatu kuelekea watano ni kusoma magonjwa ambayo yanaitaji msingi mzuri wa basic sciences.

Basic sciences carries it all.
 
Why is Physics Necessary in
Medicine?
Ever wonder why physics is important
in the field of medicine? Well, there are
numerous reasons why it is very vital to
this field. In fact, this is a deceptively
simple question because Physics is
present in everything, from the
workings of accurate medical scales, to
the imaging equipment like X-rays, MRI,
ultrasound….. this is why it is actually
pretty hard to give a simple answer
because there is so much of Physics in
Medicine it’s hard to know where to
start! A simple answer is that physics
is useful across many aspects of
medicine both in treatment but
especially in diagnostic medicine, such
as X-Rays, CT, Ultrasound etc. One
reason why a knowledge of physics is
important for medicine is “medical
physics”, Medical physics is a branch
of applied physics concerning the
application of physics to medicine. It
generally concerns physics as applied
to medical imaging and radiotherapy.
Medical imaging refers to the
techniques and processes used to
create images of the human body (or
parts thereof) for clinical purposes
(medical procedures seeking to reveal,
diagnose or examine disease) or
medical science (including the study of
normal anatomy and function. Under
this are the following: An MRI scan
diagnostic radiology, including x-rays,
fluoroscopy, mammography, Dual-
energy X-ray absorptiometry,
angiography, and Computed tomography
ultrasound. One of the most important
factors you ought to consider is the
fact that the study of modern medicine
is complemented with technology. Your
knowledge of Physics can be useful to
understand the underlying science
behind these technologies, what makes
them work and the applications. You
see physics is a great help in the field
of medicine without it, we are not able
to enjoy what we are enjoying today in
terms of treating our diseases.
 
Jibu la Kizushi: Nakusaidia kushangaa, mimi nilisoma HGL, nikajiunga kusoma MD, nipo mwaka wa 8 sasa. Imebaki kidogo tu nimalizie kadigirii kangu.

Kumbuka: Walioiandaa hiyo michepuo walikuwa na maana yao kumsaidia mhusika

Acha kutangaza ujinga wako hapa.! Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
 
Sikujua unalenga nini!

Swali lako pia lingeuliza kwa nini Physics imekua takwa la kusoma Kozi ya Afya.
Kipindi tuko mwala wa pili tuliwahi hoji hilo swali na hauwezi amini majibu tulopewa.

Lecturer mmoja alitwambia kama uliweza ku Withstand waves za Physics basi utaweza Withstand Waves za Medical school.

Ki ukweli tuliuliza hivi baada ya kuona applicability yake mpaka huo mwaka wa pili ni kama tulikua hatujauona na ukizingatia Physics ya High school iko heavy duty hata Fundamentals za Physics ya Olevel zilikua zinatoshea kabisa.
Kama niliwahi ona application ya Physics nafikiri ni kwenye somo la Radiology(Xrays, Ultrasound, MRI e.t.c) na hii inasomwa kwa week moja na kwa kweli sio lwamba mnaenda lwenye details za hizo machine na technolojia yake bali mnajikita katika kutafsiri picha.

Hopefully kuna application yake ambayo mimi sikuiwai kuiona kiasi cha kulifanya hilo somo kuwa mandatory.

Sijui course nyingine za afya kama Nursing na Laboratory science applicability yake huko hata kama ipo ila nisomo la lazima.

Kwa Upande wa Chemistry na Biology kwa kweli, hapa ndo msingi ulipo.
Mwaka wa Kwanza mpaka wa pili MD1 na MD2 miaka hii yote mnakua mmejilita katika Basic Sciences(Physiology, Anatomy, Biochemistry, Microbiology and Immunology e.t.c)

Ki ukweli hizo basics sciences kama hauna foundation nzuri ya Chemistry na Biology hauwezi kuzidi 2nd year. Binafsi somo kama Physiology kutokana kuwa na foundation nzuri ya Biology nilijikuta mechanism nyingi za mwili nazijua na nilikua naongeza maarifa ambayo yako related zaidi kwa magonjwa ya binadamu, though kuna advanced concepts pia ambazo sikuwai hata kuzisoma kwenye Biology

So to say applicability ya chemistry na Biology inahold sana katika masomo machache sana pia na kuyafanya yawe na weight ya not more than 5%.
Hapa naongelea directly involving in A level concepts

Ila wengine wangesema kwa sababu ndio foundation wangeipa % kubwa.

All in all Basic Sciences are the Good foundations of Medicine kinachoendelea mwaka wa tatu kuelekea watano ni kusoma magonjwa ambayo yanaitaji msingi mzuri wa basic sciences.

Basic sciences carries it all.
Kwa hiyo, sayansi ya O-Level inamtosha mtu kujoin kozi ya MD, kwa vile ni basic science. Atastruggle a little bit kujifunza advanced concepts (about one topic in each twenty), lakini will be just fine. A-Level ipo kumkomaza timbwili la masomo mengi, magumu, wakati akijiunga na kozi ya MD. Lakini kwa vile ataanza masomo upya ajiungapo chuo, all will be well. Nimeelewa sawa?

Maana nadhani PCB ni vestigial remains za sera za ujamaa za kusomesha wanafunzi vyuo vya serikali, kwa kulipiwa fully na serikali nafasi chache zilizokuwapo. Hivyo, serikali ilipenda kuhakikisha inapick only walee ambao wangekuwa na likelihood kubwa ya kufanikiwa kusoma kozi ya MD, kwa kuweka stringent rules za kujoin MD. Otherwise, wangeweza tu kuchukua wa kidato cha nne, au wa kidato cha sita wa kombi yoyote ya sayansi, na kuwadahili MD.

Kwa sasa, wakati ambapo serikali haisomeshi 100% ya wanachuo wa MD, it is kinda outdated to require PCB to join MD courses. Isn't it?
 
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
Relevance ni kubwa ingawa hakuna mwendelezo. Mfano: Advance utapasua Chura, mende na panya lakini ukifika chuo utatumia Cadaver.
 
Sio kila anaesoma PCB anasoma vyuo bongo. Ko lazima iwepo kumpa mtu wigo mpana maan who knows? may be atatokea mkombozi katika taifa la TZ ataenda kusoma nje mamedical physics hayo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo, sayansi ya O-Level inamtosha mtu kujoin kozi ya MD, kwa vile ni basic science. Atastruggle a little bit kujifunza advanced concepts (about one topic in each twenty), lakini will be just fine. A-Level ipo kumkomaza timbwili la masomo mengi, magumu, wakati akijiunga na kozi ya MD. Lakini kwa vile ataanza masomo upya ajiungapo chuo, all will be well. Nimeelewa sawa?

Maana nadhani PCB ni vestigial remains za sera za ujamaa za kusomesha wanafunzi vyuo vya serikali, kwa kulipiwa fully na serikali nafasi chache zilizokuwapo. Hivyo, serikali ilipenda kuhakikisha inapick only walee ambao wangekuwa na likelihood kubwa ya kufanikiwa kusoma kozi ya MD, kwa kuweka stringent rules za kujoin MD. Otherwise, wangeweza tu kuchukua wa kidato cha nne, au wa kidato cha sita wa kombi yoyote ya sayansi, na kuwadahili MD.

Kwa sasa, wakati ambapo serikali haisomeshi 100% ya wanachuo wa MD, it is kinda outdated to require PCB to join MD courses. Isn't it?
Mh! Soma na majibu ya wengine usichukue majibu unayoyapenda tu.
 
Acha kutangaza ujinga wako hapa.! Ficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Wewe ni mmoja wa aina ya wasomi wetu wakurupukaji, ameuliza uhusiano wa PCB na MD, kwa "uzushi" wake nikamjibu kwa kizushi kwa kuihusisha HGL na MD kwa kuisoma zaidi ya miaka 8 bila kumaliza.
Chini nikamwandikia "Kumbuka... "
Usimdharau au kumtukana usiye mjua au yuko kinyume na uelewa wako
 
Kwa hiyo, sayansi ya O-Level inamtosha mtu kujoin kozi ya MD, kwa vile ni basic science. Atastruggle a little bit kujifunza advanced concepts (about one topic in each twenty), lakini will be just fine. A-Level ipo kumkomaza timbwili la masomo mengi, magumu, wakati akijiunga na kozi ya MD. Lakini kwa vile ataanza masomo upya ajiungapo chuo, all will be well. Nimeelewa sawa?

Maana nadhani PCB ni vestigial remains za sera za ujamaa za kusomesha wanafunzi vyuo vya serikali, kwa kulipiwa fully na serikali nafasi chache zilizokuwapo. Hivyo, serikali ilipenda kuhakikisha inapick only walee ambao wangekuwa na likelihood kubwa ya kufanikiwa kusoma kozi ya MD, kwa kuweka stringent rules za kujoin MD. Otherwise, wangeweza tu kuchukua wa kidato cha nne, au wa kidato cha sita wa kombi yoyote ya sayansi, na kuwadahili MD.

Kwa sasa, wakati ambapo serikali haisomeshi 100% ya wanachuo wa MD, it is kinda outdated to require PCB to join MD courses. Isn't it?
Clinical Officer hasomi PCB lakini anaweza soma MD kutokea diploma
 
Back
Top Bottom