Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Eti wakuu, kuna huduma hiyo?
Mfano unaweka 20 au 30 elfu kila mwezi kwaajili ya elimu ya mtoto hapo baadaye. Labda unaweka kwa miaka mitano au kumi. Ipo hivyo? Kama ipo pesa inakua kwa kiwango gani, yaani baada ya miaka kumi au mitano unakuwa na kiasi gani?
Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu.
Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14. Jumamosi ijayo.
Hata hivyo kwa namna ya pekee, mwezi huu hauwezi kuwa na utukufu kwa Watanzania hasa...
Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi.
Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
Habari wakuu,
Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia.
Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka.
Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi.
Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
Tusiposema sasa mawe yatasema.
Sasa hivi nchi inapitia ubaguzi wa wazi kieneo, ukabila na upendeleo wa wazi kwa sehemu fulani fulani nchini Tanzania.
Haya ni mambo ambayo Tanzania hatukuyazoea wala kushuhudia toka enzi za kupata uhuru.
Mwalimu alijishusha mno na hata hakupendelea kwao kwa...
Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
Credit:Mariaan Webb
''The Tanzania gold mines of Barrick Gold have been successfully revived, with North Mara delivering significant improvements and underground production starting at Bulyanhulu, the Canadian major reported on Thursday.
Barrick Gold assumed control of the operations of the...
Habari za jioni wana JF!
Nina mpenzi wangu anaishi nchini Australia anataka kuja Tanzania tuanze maisha, naomba msaada kujua taratibu za kufanya kumpatia uraia ili niweze kuishi nae Tanzania.
Ni kitu kimoja kizuri kuangalia sekta ya viwanda nchini kwetu sio kwa idadi ya majengo ya viwanda bali uzalishaji ambao unafanyika katika viwanda hivyo.
Uzalishaji unapoongezeka ni wazi tutakuwa tunaweza kuuza nje zaidi, na bidhaa za viwandani zinazouzwa nje katika taarifa za BoT huwa zipo...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:
Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.
Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara...
Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
Nimemsikiliza waziri Kabudi ambaye alimwakilisha Rais Magufuli kwenye kikao cha Umoja wa Afrika. Wakati Rais Ramaphosa wa Afrika ya Kusini akiwa ni mwenyekiti anayemaliza muda wake, akieleza jinsi korona ilivyovuruga mipango ya maendeleo katika bara la Afrika, Tanzania ilitoa msimamo wake na pia...
Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa na the Kenyans, of all the nations of the world.
Ujio wa John Magufuli umeturudishia kiti cha...
Haiwezekani mtu ulipie visa, ubalozi ukosee (mfano Jina au tarehe)katika kuandika visa, halafu ukiwaambia warekebishe wanasema ulipie upya. Huo ni utapeli na haileti taswira nzuri kwa nchi.
Kama ndiyo utaratibu wa Balozi zetu kulipisha watu mara mbili wakati kosa ni la ubalozi, mamlaka husika...
Wanasimba na Watanzania kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi.
Kwa lugha iliyokuja na meli matukio haya tungeita 'Surprises. Mara Simba Super Cup na sasa Visit Tanzania. Ukiangalia bila kuweka ushabiki yote ni Ubunifu...
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.