tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

    Habari za leo wakuu, Kwenu wanaume wote Tanzania, Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo whatsap 0766945239 Ada ya kitambulisho Ni 500 tu.
  4. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Uganda - Tanzania oil pipeline

    Tanzania ready to start constructing Ug-Tz oil pipeline (independent.co.ug) Dar es Salaam, Tanzania | THE INDEPENDENT) | The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) is scheduled to start next month, Tanzanian newspaper The Citizen has reported today...
  5. chuchunge

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  8. M

    JamiiForums Tanzania John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  9. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Gavana Mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu

  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Masheikh kurundikwa Magereza bila kufunguliwa kesi Mahakamani nchini Tanzania, nini hatma yake?

    Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao

    Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo. Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana. Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious...
  15. Ushimen

    JamiiForums Tanzania ICAP Tanzania Careers, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Program Drivers -(2 Posts) 2. Regional Project Coordinator- (1 Post) 3. Technical Officer- Supply Chain- (1 Post) 4. Linkage And Retention Officer- (1 Post) 5. Technical Advisor- (1 Post) Application close: Mar 15...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

    Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (JMT) imetamka wazi kuwa Tanzania ni dola huru yenye mamlaka yake ya kujitawala. Kwa mantiki hii rais wa JMT ana mamlaka ya kuwalinda raia na taifa zima la Tanzania bila kuingiliwa na ushawishi toka mahala popote. Tambueni kuwa Tanzania...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Somo la historia ya Tanzania kuanza kufundishwa Machi 2021

    Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa wakati akiwaapisha mawaziri Desemba 9, 2020...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  19. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Malighafi zinazotumika Tanzania kutengeneza barakoa zinatoka nje au zinazalishwa na rasilimali zetu?

    Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
Back
Top Bottom