Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za leo wakuu,
Kwenu wanaume wote Tanzania,

Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo whatsap 0766945239
Ada ya kitambulisho Ni 500 tu.

Screenshot_20210301_025500.jpg
 
Vitambulisho vinatakiwa kutolewa kwa being elekezi ya Chama ambayo ni 100tshs.
 
Natumia freebasics hapa wewe umepata wapi ujasiri wa kuweka mb za internet
Alafu hiyo 500 ni kubwa sana
 
Mimi ni Bahili Sana naiona mia tano kubwa sana aisee ila natamani Sana kujiunga.
 
Back
Top Bottom