Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University of Tanzania

kese

Member
Jun 4, 2015
39
19
Hello Habarini za wanajamii forum?

Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie maana kwa sasa mimi ni muajiriwa na nahitaji kusoma hii degree!

Pia Advance nilisoma EGM na O-Level nilifaulu vizuri tu masomo ya science ila wamesema watanipokea angali Advance sikusoma Physics!
Swali je kuna uwezekano wa kuperform vizuri kama adavance sikusoma physics?

Msipuuze wadau nategemea sana mawazo na ushauri wenu asanteni sana.

Asanteni sana kwa msaada wenu wa mawazo.
 
Kati ya elimu ngumu nilopitia ni ya OUT.. ikiwa una chaguo la kusoma full time au OUT... ningekushauri ufanye full time umalize mapema.
Labda kama upo jirani na kituo chao.
 
Kati ya elimu ngumu nilopitia ni ya OUT.. ikiwa una chaguo la kusoma full time au OUT... ningekushauri ufanye full time umalize mapema.
Labda kama upo jirani na kituo chao.
Asante sana, kwa hapa nilipo nipo jirani sana na kituo! labda nisaidie how kuwa jirani na kituo panaweza nisaidia mimi kufanya na kumaliza masomo yangu vizuri angali masomo pamoja na notice na ukizingatia ni science course em nisaidie kunifungua akili ndugu.

nashukuru sana pia napenda kusikia kutoka kwako zaidi unabadilisha maisha ya mtu,msaada wako ni mkubwa sana
 
Mbona hizi thread kuhusu OUT hujibiwa na New members zaidi..
 
Nakushauri ukijiunga uchukue optional courses za muhimu za physics ili ukopu vizuri.
Nikuulize , Lengo lako nini kisoma energy source? Idara gani watakuajiri au upo tayari serikalini/ mashirika ya clean energy and envirnmental conservation.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom