Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama
Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko...
Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na bango NO ENGLISH NO SERVICE...
Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi?
Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not...
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".
Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
Habari za kazi waungwana
Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu?
Picha haihusiani ila uzi bila...
Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini...
Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo.
Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo:
matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF.
Ushahidi wa Marekani na washirika...
Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi...
Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo “Roho ya Korosho” ilivyopelekea Membe kukosa donge la pesa zinazofikia paundi Bilioni Saba za Common...
Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao.
Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa...
Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira.
Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ?
Asanteni kwa mtakaonijibu...
Habari!
Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
Habari zenu wana jf Uzi wangu wa kwanza huu nitililike kwenye mada.
Kijana mwenzenu naelekea kutwaa jiko ivi karibuni ivo nlitaka kufahamu ni aina gani ya mke ni sahii kuishi nae maisha ya ndoa ili kama nimeingia cha kike njipange hesabu za kuish nae ama kama nmepatia niingia mazima.
Huyu...
Naomba kujuzwa ni kitu gani hasa kinachomuongoza ndege kuchagua mwenzi wake anayemfaa? Maana huwa napendezwa sana ninapowaona ndege dume na jike wakishirikiana kwa utaratibu na wororo mzuri sana!
Ningependa kujua ni nani mchunguzi mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania?
Navyosema mchunguzi ni kwa matumizi ya bank kuu na budget za kujiendesha kama kulipa wafanyakazi, majengo, uendeshaji wote wa shughuli za kibank. Wasiwasi wangu ni kwamba bank kuu yetu ya Tanzania haijapewa mandate ya kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.