Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,895
2,000
Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia?

Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika ghafla sasa hivi je huyu mwanamke ataweza kusupoti familia/mtoto ama watoto kwa kipindi chote utakachokuwa unapambana kuweka mambo sawa?

Wanaume wenzangu lazima tuwe makini sana hasa kwenye kuendeleza bloodline zetu, tuchague wanawake ambao wataweza kuendeleza kizazi chetu sawa na vile ambavyo tungekuwa hai tungefanya ama angalau na matarajio yetu pale mambo yetu yanapovurugika.

Mwanaume unapoamua kuzaa ama kuoa tumia zaidi akili kuliko hisia, wewe ndie kichwa cha familia, wewe ndio injini ya gari.

Vijana wengi hukimbilia kuoa ama kuzaa na mabinti halafu mambo yakienda tofauti watoto wao wanalelewa kwa shida sana ama wanapata shida kubwa sana.

Mwanaume kabla ya kuamua kuzaa ama kuoa, fikiria maisha ya miaka 5 ama 10 ijayo hasa pale mambo yako yatakapokuwa sio mazuri.

1628062573376.png

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
547
1,000
Umemjibu vizuri sana. Kujua attributes zote hizo ndani ya muda ambao unawaza kumuoa ama kumzalisha ni ngumu sana. Ndio sababu tunashauriwa kumshirikisha Mungu kwenye masuala kama hayo, kabla hatujaoa.
Hakika mkuu
 
jje's

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
10,348
2,000
ila bhana maisha hayana formula,,,My advice: Wewe kama mwanaume jipange ujue familia yako utaichaje au itakuwaje if things goes wrong...yaani nakuambia anza kuweka akiba sasa hivi ukija kuoa umshirikishe mkeo mambo yako halafu mfanye kitu kingine kitakachowaingizia kipato mbali na kazi zenu if at all mmeajiriwa. Mambo ya kusema mwanamke atayeweza kukusaidia pindi upatapo shida au utakapo kufa, jiulize wewe ulimuandaa vipi kuja kukusaidia.

vijana wa siku hizi mnawaza kusaidiwa tu bila kujisaidia wenyewe.

Chukua hatua mapema na kujipanga la sivyo hakuna mwanamke wa hivyo kabisa
 
ANKO JEI

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,009

Kusaidiana ni sehemu ya maisha,hata kama hujajipanga kusaidiwa lazima ujue kuwa kuna leo na kesho,lolote laweza kutokea na mkeo akawa msaada mkubwa sana.

Ukichagua mwanamke mjinga,hata ufe umeacha millions kwaajili ya kuwalea watoto,atazifuja tu na watarudi kwenye msoto.

Kuchagua lazima,ni uzembe tu wa sisi vijana wa sikuizi kudhani uzuri na muonekano ndio kigezo cha pekee,zamani wazee walikua wanafatilia mpaka historia.

Hii ishu ni sirias sana mkuu.
 
unajua siwezi bisha hata point maneno ulosema kwani umesema kweli tupu tena yenye ukweli mchungu,,,ninachotaka kumueleza mtoa mada ni kwamba, asiweke 100% ya kusaidiwa kabla hajajisaidia alone,,,niulize kivipi: Mwanaume yeyote mwenye akili hujipanga kabla ya kuoa na kabla ya kupata mwenza lazima atafute mwanamke mwenye akili kama ulivyosema hapo juu,,,,mwanamke huyo huwezeshwa na mume si tu kwa pesa bali kwa mawazo chanya ambayo result yake hujenga nyumba na vitu vyote huenda kama mlivyokusudia.

Ukiwa mwanaume unategemea from no where usaidiwe huku hujajenga misingi ni uongo mtupu,,,utakuta mwanaume yuko na mwanamke lakini hajui chochote kinachoendelea ndani ya nyumba eti mwanamke sio wa kumshirikisha kila kitu,,,mtaumie nyieeeee shauri yenu.
 
traveller_tz

Senior Member
Mar 1, 2016
126
250
ila bhana maisha hayana formula,,,My advice: Wewe kama mwanaume jipange ujue familia yako utaichaje au itakuwaje if things goes wrong...yaani nakuambia anza kuweka akiba sasa hivi ukija kuoa umshirikishe mkeo mambo yako halafu mfanye kitu kingine kitakachowaingizia kipato mbali na kazi zenu if at all mmeajiriwa. Mambo ya kusema mwanamke atayeweza kukusaidia pindi upatapo shida au utakapo kufa, jiulize wewe ulimuandaa vipi kuja kukusaidia.

vijana wa siku hizi mnawaza kusaidiwa tu bila kujisaidia wenyewe.

Chukua hatua mapema na kujipanga la sivyo hakuna mwanamke wa hivyo kabisa

Hii kujipanga imezeesha wengi wakiwa single, riziki mafungu huezi jua lini utapata zaid na ziada
Ila sikuzote mwanamke mwenye akili akikukuta na kidogo lazima kitamultiply na hiyo ndo asili ya mwanamke ukimpa mbegu anakupa mtoto ukimpa jengo anakupa nyumbani
Kujipanga sidhani kama ni solution manake utajipanga utabahatika utaweka akiba ya watoto utabeba kilaza ukiondoka atafuja vyote ulivyopambana kujipanga kabla hujampata
So nadhani mtoa mada bado yuko sahihi kwa asilimia 100
 
Ohooo. Vyote ulivyosema nakubali....ukijipanga na ukapata mwanamke mwenye akili utaenda mbali..tatizo mnaangalia mikia badala ya akili
 
Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
498
1,000
Mkuu kiafrica wewe
Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia?

Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika ghafla sasa hivi je huyu mwanamke ataweza kusupoti familia/mtoto ama watoto kwa kipindi chote utakachokuwa unapambana kuweka mambo sawa?

Wanaume wenzangu lazima tuwe makini sana hasa kwenye kuendeleza bloodline zetu, tuchague wanawake ambao wataweza kuendeleza kizazi chetu sawa na vile ambavyo tungekuwa hai tungefanya ama angalau na matarajio yetu pale mambo yetu yanapovurugika.

Mwanaume unapoamua kuzaa ama kuoa tumia zaidi akili kuliko hisia, wewe ndie kichwa cha familia, wewe ndio injini ya gari.

Vijana wengi hukimbilia kuoa ama kuzaa na mabinti halafu mambo yakienda tofauti watoto wao wanalelewa kwa shida sana ama wanapata shida kubwa sana.

Mwanaume kabla ya kuamua kuzaa ama kuoa, fikiria maisha ya miaka 5 ama 10 ijayo hasa pale mambo yako yatakapokuwa sio mazuri.

Mkuu haya maswala kiasili yake hayashauriki ukizingatia binadamu wanabadilika asante kwa kutupa tahadhari sisi makapela lakini kuoa au kuolewa ajuae ni Mungu tu!! Na swala la kuzalishana mala nyingi ni hamu / ashiki / kiu cha kutaka tendo kwa jinsia zote ndizo huleta watoto wasiotarajiwa ila watu wanajikaza tu na maisha yanasonga .mimi binafsi nashauri kamwe usifanye utani na kuingiliana kimwili maana hiyo ndio engene ya ndoa iwe kabla ya kuoa/kuolewa au baada
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom