swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Tegeshi: Ikitokea Hivi, Itaendelea kuwa Vile?

    Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya 2025 anashindwa kumalizia na huyo Makamu anakuwa Rais..je wote watakuja wanaendelea kurithi Baraza...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye kulijua hili swali la kitakwimu.

    Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Nioe au niolewe wapi?

    NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani. Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume. Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi? Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu...
  5. Kabulala

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Hivi wabunge ni Viongozi au Wawakilishi wa Wananchi?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Unaweza maliza kidato cha nne ukasoma diploma nje ya nchi?

    Wadau nilikuwa nauliza ivi inawezekana mtu kumaliza form four na akaenda kusomea diploma nje ya nchi.. Au ni tanzania pekee ndo inatoa elimu kwa ngazi ya diploma.. Na je mtu akitaka kusoma nje ya nchi baada ya form four anafanyeje.. Mwenye kujua anieleweshe plz
  8. Zeemadeit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu. Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like...
  9. King TKM

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hili swali, an appraisal of handling of exhibits in law enforcement agencies practice: Tanzania police force

    Habari za mda huu, Ikiwa kama kuna regulations, laws au Act zozote zinazoweza kutoa majibu ya hilo swali naomba mnisaidie.
  10. Libya

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

    Zamani sana bendi moja hapo Dar: ama Dar es salaama Jazz au Western Jazz iliimba kuwa "Tenda Wema, nenda zako, usingoje shukurani". Maudhui ya wimbo huu yamesharudiwa na waimbaji wengi sana siku za hivi karibuni. Mimi ni mtu wa makamo sana wakati huu na katika maisha yangu nimeshasaidia watu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

    Mjadala wa maadili hasa juu ya wema na uovu ni mjadala mkubwa na mzito sana kwa Wakana Mungu(Atheists) na unawasumbua sana, sijajua hawa tulio nao humu JF ila kwa wale wakubwa hasa kina Richard Dawkins na mfano wao, ndiyo maana leo hii nimekuja na hili la uovu na wema ili tupate kuwasikia...
  13. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Calculus: Swali limekosewa, limekosewa wapi?

    Swali la kwanza limekosewa http://www.math.ubc.ca/~israel/m215/roo/ Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa alikosea kwenye stage ipi? NB: Kilichokosewa hapa ni jibu, yaani swali liko sahihi, ila jibu lake ndiyo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  15. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

    Ndugu zangu poleni na msiba. Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea. Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na kumfananisha na masiya. Je wanyonge aliowapigania ni kina nani? Aliwakuta wakiwa na hali gani...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Swali: Msiba wa Rais hauna watani?

    Hayati Rais Magufuli ni Msukuma na amekuwa akipita maeneo mengi na kusema ni watani zake, kwa Dar, Wazaramo ni watani zake, Of coz Wasukuma ni watani wa makabila mengi sana nchini. Kawaida makabila yanataniana wakati wa misiba, sioni watani kwenye msiba huu, au tumeacha desturi zetu, au...
  17. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, wakati huu wa maombolezo, kazi na shule zinafanya kazi kama kawaida?

    Poleni sana Watanzania wenzangu na msiba mzito. Nataka kujuzwa kama kazi za kiserikali, mashule na biashara zitafanya kama kawaida ama ni tofauti ya hapo kutokana na huu msiba wa Rais wetu? Asanteni.
  18. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la, "Why should we hire you?" kwenye interview

    Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
  19. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

    Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe? Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme. n.k. Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
Back
Top Bottom