swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika hili. Je, niandike barua?

    Wadau habarini Nina changamoto ya kujiuliza je nimwandikie historia ya suala langu katibu mkuu kiongozi au nimwandikie maneno gani aweze kulegeza masharti ya kuniajiri. Nimepata barua toja kwa katibu mkuu wizara fulani inanisgauri nimwandikie katibu mkuu kiongozi Kama nilivyotangulia kusema...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  3. Darucha

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya swali hili la Uchumi

    What are the main types of production function and what are their application in economic problem?
  4. meningitis

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kuanza vikao leo. Spika Ndugai awapongeza wabunge kwa kuuliza maswali mafupi mafupi

    Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni pamoja na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanayotarajiwa kuulizwa na wabunge. Pia, wabunge...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Swali la kichawi lenye kuhitaji jibu la kisayansi ya maabara

    Mwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana. Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona. Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

    Swali dogo tu, Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu? Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni. Natanguliza shukrani.
  10. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake. HISPANIA Ilitawala...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyefika China anisaidie kujibu hili swali

    Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu? Nawasilisha tafadhari. Enzi na enzi.
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa hili swali.

    Je kivipi utajibu swali kama hili?
  13. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi msaada wa hili swali

    The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation
  14. M

    JamiiForums Tanzania swali kuhusu reverence pay

    Asalaam Wana jamii fourms, nilikua na swali kuhusu severence pay, sisi offisini hua tunapewa mikataba ya mwaka mmjoa tuu na kwa sheria inavyo sema kwamba severence pay hailipwi kwa mikataba mfupi. sasa inakuaje kama umefanya kazi zaidi ya miaka mitano kwa kutumia mikataba ya mwaka mmoja kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Swali la sikukuu: Ununuzi wa magari ya kifahari kwenye halmashauri kosa ni la Wakurugenzi au Madiwani wa CCM?

    Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri. Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM. Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza. Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya...
  16. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Habari zenu wanajamii forum! Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18. Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

    Wanabodi, Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa. Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo...
  18. To yeye

    JamiiForums Tanzania Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

    Habari za masiku? Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu...
Back
Top Bottom