swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paschal samwel

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  2. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada, hivi kinachowaliza siku za harusi huwa ni nini?

    Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Mdada wa Umoja party; Kada wa umoja party Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  5. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

    Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua. Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk Ameandika: Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa ukiulizwa na mpenzi wako swali hili majibu haya hapa

  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

    Nina maswali ambayo nimeyawaza baada ya ku smell kitu. Ni kama vile wasimamizi wa nishati na mafuta kama wanafanya biashara ya mafuta hivyo wanajiimarisha kiuchumi. Swali 1. Haya mafuta yaliyoanza kuuzwa leo kwa bei ya juu yameingia lini nchini? Swali 2. Mafuta yale ya bei ya zamani yameishia...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Wiki: Yote Sawa? Mapenzi ya Kinafiki au Heshima ya Woga?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili Swali nimeliona katika Moja ya 'Past Papers' ya Somo la 'Political Science' naomba tusaidiane katika Kulijibu tafadhali....

    Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga...
  11. N

    JamiiForums Tanzania "What is your salary expectation?"ni moja ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri

    Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?" Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika Ni ngumu sana kumshawishi mwajiri aliepanga kukulipa 1,000,000 basic salary kisha akulipe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

    Mwanasiasiasa nguli na muhimu sana ndani ya Bavicha, Hilda Newton anaomba ajibiwe swali lake, hakika CHADEMA ina watu smart sana
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Swali; Baba huwa anarithisha size ya uume wake kwa mtoto?

    Naombeni msaada wenu watu mliosomea na kuelewa mambo ya Biology hasa kwenye ile topic ya Genes. Nimekuwa na hili swali kwa mda mrefu bila jibu, Size ya uume wa mtoto inatoka kwa baba yake au ni independent? Binafsi nina watoto wavulana wawili nimeona wamefanana na mimi size yangu ya utotoni...
  14. Pist_Sr

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini uwepo wa Mungu, usiipite hii!

    Hello! Kuna jibu huwa najibiwa sana na washika-dini kila ninapowauliza kwanini wao wanaamini uwepo wa Mungu. They are like, "Unaamini uchawi upo?" Nikimjibu, anakuja na hii, "Kama unaamini uchawi upo, kwanini huamini Mungu yupo?". Yaani hapo huwa wana nadharia yao kuwa, everything is two...
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

    Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question: Could this death be prevented? Remember: Prevention is better than treatment!!
  19. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

    Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza. Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne. Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa? Je...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
Back
Top Bottom