Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi?

Mimi mzee baba ningechagua kuwa demu New York. Wewe je
 
Wanaume tumepoteza jamaa mmoja huku

Sasa nawaza hivi hapohapo ulipo upewe 5million marinda yafumuke au ubaki na marinda yako na usipewe 5milion we utachagua nini

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tumepoteza jamaa mmoja huku

Sasa nawaza hivi hapohapo ulipo upewe 5million marinda yafumuke au ubaki na marinda yako na usipewe 5milion we utachagua nini

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Milioni tano ni billing ya umeme kwenye shuhuli zangu hiyo ni hela ndogo Ila pia utu wangu hauthaminishwi Ila kisu Cha Taleban tuwe wa kweli Bora kuwa Dem USA.
 
Nimeshangaa sana mleta mada kwa kwenda mbali hivyo wakati wewe tayari ni demu uliyepo tanzania.Na baadae utakuwa demu marekani
 
Back
Top Bottom