Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akifuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu
Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika
Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani
Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo Chanya Kwetu Sote
Tuliahidi
Tumetekeleza
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu mabadiliko ya technology yanayokuja kwa kasi kwenye vyombo vya moto.
Kuhama kutoka kwenye matumizi ya diesel na petroli kwa mbadala wa umeme. Kama ambavyo tunamuona injinia gwiji Elon Musk kupitia Tesla Electric Cars Solar & Clean Energy anakuja kwa...
Wandugu,
Nimekuwa nasikia kuwa soko la Korosho huko Duniani sio nzuri hali iliyopelekea wakulima wetu kubaki na korosho zao.
Mtazamo wangu: Kwa kuwa mikoa ambayo haizalishi Korosho ambayo ndio mingi bei yake ipo juu sana (kuanzia shs 20,000 kwa kilo iliyo banguliwa); hii bei ni ya juu sana...
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje ya boksi.
Programu hii ya kujengea uwezo wasomi wetu ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa...
Fact 1: Cement imeadimika
Fact 2: Uhitaji wa cement uko juu, hii ni kutokana na kazi nyingi za maendeleo.
Fact 3: Kuna matatizo ya uzalishaji, tunasikia kiwanda cha Dangote hakizalishi.
Kwa scenario hiyo hapo juu, haihitaji PhD kutambua kuwa kwa principles za Demand and supply, bei ni lazima...
Hakika CCM imedhamiria haswa.
Mbunge mteule wa Jimbo la Arusha ndugu Mrisho Mashaka Gambo ameanza kutekeleza mojawapo ya ahadi zake alizozitoa jijini humo hususani katika soko kongwe na maarufu la watu wa kipato cha kati na chini ,SOKO LA KILOMBERO.
Mheshimiwa Gambo amewezesha uchimbaji wa...
Habari za kutwa wana JF.
Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla.
Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
TATHIMINI YA SOKO LA MUZIKI TANZANIA NA WASANII WA FILAMU
Naitwa Don Nalimison ni moja ya Wanamuziki nchini Tanzania ninayefanya mziki katika Lugha ya Kiingereza cha Kiafrika. Leo nataka tuangalie soko lilivyo.
ONLINE DISTRIBUTION MARKET
Tanzania bado hatujafikia soko la Online kwa kuwa 10% ya...
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania.
Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
Habari wakuu,
Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara.
Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam...
Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.