Wanawake wenye ajira hizi wanapata shida kwenye Soko la Ndoa. Wanaume huwakwepa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,433
2,000
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.

1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi
5. Wanasheria
6. Wafanya biashara wanaosafiri safiri
7. Air hostess
8. Wasanii

Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa wanawake wanaofanya kazi za namna hiyo kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni kuwa wengi wao Wanaangukia kwenye jaribu la kukosa uaminifu katika ndoa.

Kwa sababu ya aina ya kazi zao mara nyingine huwafanya wawe zamu usiku,kusafiri safiri,kuwa karibu sana na wanaume nature ya kazi zao kutegemea favour fulani katika kupanda ngazi au mshahara.

Je kuna ukweli wowote?
 
Madima

JF-Expert Member
May 25, 2019
344
500
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.

1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi

Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa wanawake wanaofanya kazi za namna hiyo kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni kuwa wengi wao Wanaangukia kwenye jaribu la kukosa uaminifu katika ndoa.

Kwa sababu ya aina ya kazi zao mara nyingine huwafanya wawe zamu usiku,kusafiri safiri,kuwa karibu sana na wanaume nature ya kazi zao kutegemea favour fulani katika kupanda ngazi au mshahara.

Je kuna ukweli wowote?
Kwa Tz hapa uhalisia uko hivyo
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,767
2,000
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.

1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi

Wanaume wengi wamekuwa wakiogopa kuoa wanawake wanaofanya kazi za namna hiyo kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni kuwa wengi wao Wanaangukia kwenye jaribu la kukosa uaminifu katika ndoa.

Kwa sababu ya aina ya kazi zao mara nyingine huwafanya wawe zamu usiku,kusafiri safiri,kuwa karibu sana na wanaume nature ya kazi zao kutegemea favour fulani katika kupanda ngazi au mshahara.

Je kuna ukweli wowote?
Kuna nesi moja rafiki yangu huko ugaibuni, alikuwa anamtibu mgonjwa mwanaume. Anasema hakuwai kuwa turned on na mgonjwa lakini ila siku hiyo ilitokea baada ya jamaa kumwambia mke wake anampenda kwakuwa ana dushee kubwa.

Jamaa akavua nguo akamuonesha, nesi, nesi nyege zikampanda.

Nilimuuliza kama hakumtafuta jamaa ammege akasema alimchukua vipimo akakuta ana STDs hivyo akapotezea.

Sasa imagine ndio mkeo na wewe una kibamia si ndio analiwa kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom