Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.
Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga.
Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa.
Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la serikali la debe 6 kwa msimu 2020 kipindi cha mavuno Tsh 50,000 hii ni bei ya mwezi wa sita...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake
Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo.
Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo.
Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa.
Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha kuanzia kupanda kwa Hisa zake pamoja na ugawaji wa dividends kwa wamiliki wa Hisa. Sisemi hazishukagi...
Sijui kama niko sawa ninachokiona kwenye soko la hisa la Dar es salaam kwamba tangia mwaka 2015 soko hili limeenda likishukaa taratibu nikimaanisha bei za share za makumpuni karibia yote. Yaani share nyingi zilikuwa kwa kiwango cha juu mwaka 2014. Baada ya apo zimeenda zikiporomoka kila mwaka...
Greenpark Estate in Athi River.
FILE
Over the last 3 years, at least Ksh 300 billion has been poured into development projects in the city outskirt towns of Kitengela and Athi River.
From malls to gated communities to whole city projects, the two towns have seen a major influx in...
Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani.
Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na...
Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala
Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala.
Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine.
Hivyo kama mtu anayemiliki hisa atahitaji kubadilisha hisa zake kuwa pesa hatoiomba kampuni kumfanyia hivyo bali atatafuta...
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana
Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara.
Thanks
Wana JF,
Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili...
Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana.
Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia.
Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona.
Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita
Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh...
Habari za leo wakuu,
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
Habari za leo wakuu,
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya.
Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano?
Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue
Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL)
Nani atakimbia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.