Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Habarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
Niaje wakuu.
Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo.
Naomba kupata details za:
1. Upatikanaji wa mbegu/ miche
2. Uhakika wa soko
3. Muda wa kuanza kuvuna...
Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze mchango wetu kwenye comments.
Mimi changamoto ambayo naona ni kubwa zaidi kuliko ile ya ukosefu wa...
Wananchi wa Jiji la mwanza walifurahi sana walipoona Soko la zamani likivunjwa kupisha ujenzi wa soko mpya. Soko lilipovunjwa wafanyabiashara walisambaa maeneo mbalimbali ili wapate nafasi ya kuendelea na biashara zao.
Kibaya zaidi maeneo waliopelekwa ni maeneo hatarishi na hakuna huduma za...
Habari wana JF
Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu
====
Majibu
Wanabodi
Kesho ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari
Leo tumefanya mjadala kuujadili Uhuru wa habari Tanzania na manguli
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Vilabu vya Waandishi wa Habari wa Mwanza MPC, Edwin Soko, Moses Mathew wa TBC na Manguli, Chini ya...
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo...
Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana.
Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa...
Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
Hata kama ni kweli hagombei tena ubunge Arusha mjini na badala yake anagombea Hai bado ana jukumu la kuwatumikia wapiga kura wake hadi bunge litakapovunjwa.
Mbunge Lema Tafadhali fika sokoni Samunge uwasikilize wapiga kura wako usiwaachie RC na DC peke yao.
Usiwe kama mbunge wa Ukonga...
nilikuwa na ndoto za kuwa injinia ila kaka zangu nadhani walinionea wivu wakanidanganya kuwa haina dili bora masomo ya biashara. nikasoma hayo leo wananicheka life imenipiga mpaka nachanganyikiwa.
Ninachochukia siku zote ni pale mtu anapoamua kukutumia kama mjinga ili apate faida. Huwa naona kama ninatukanwa. Na huu ndio mchezo ambao EWURA wamekuwa wakitufanyia Watanzania.
Utaona kwamba pale ambapo bei ya mafuta katika soko la dunia ikipanda, mara moja EWURA hupandisha bei ya mafuta...
Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike.
Naomba...
March 22, 2020
Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:-
*Piga/text/WhatsApp*
0765894955/0693100453
Arusha Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.